Pre GE2025 Wakulima na wafugaji kumuunga mkono Rais Samia kwenye uchaguzi mwaka 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naamini ya Muhimu hayawezi kuachwa
Yote yameachwa, Mwenyekiti na Mkurugenzi wanateuliwa na Rais, matokeo hakuna kupingwa mahakamani, DEDs wataendelea kusimamia ni makada wa CCM, hapo bado kuna sheria au maigizo tupu?
 
mbegu kutoka 10~12k hadi 16k aise tatizo machawa wengi wanasifia wasichokifanya.
 
Ningeshangaa kama wasingemuunga mkono Kwa sababu bila Samia saizi wangeshaacha Kilimo
 
β€’ OK, ingawa bado najiuliza, hawa wakulima wamempongeza mda gani πŸ€”,

β€’ maana nikiangalia Trip nyingi za mama kwa mwaka 2023 ilikuwa ni uarabuni tu.
we uko bize sana mkuu,
hata magazeti huna muda kuyapitia, mitandao ya kijamii ndio kama hivi unagusagusa tu, kwenye vikao vya kijiji na mtaa huji, kwenye viweje vya kahawa hutaki kujoin, taifa kwenye mechi huendagi, huonekani msikitini, kanisani, kwenye ndoa, send off na mazishi utajuaje mambo haya ndruuuugu yangu πŸ’

sie ndio tunamilza kulima na kupanda tumemuoa kwenye mbegu za mazao na mifugo, mbolea na madawa ya mimea na mifugo tunaachaje kushukuru na kwendra nae bampa to bampa hadi 2030πŸ’
 

Attachments

  • IMG_20240106_080727_7.jpg
    457.4 KB · Views: 1
Wafugaji wa wapi maana sio wa ngorongoro waliotaifishwa mifugo yao.
 
Ningeshangaa kama wasingemuunga mkono Kwa sababu bila Samia saizi wangeshaacha Kilimo
Sure,
That's true mkuu,
Mashamba ambayo hayakulimwa 3 yrs ago leo hii yote yamelimwa kila mtu anahitaji shamba saivi na yamekua adimu na bei ni ghali mbaya sana tunahemishika sasa πŸ’
 
mbegu kutoka 10~12k hadi 16k aise tatizo machawa wengi wanasifia wasichokifanya.
kwa huku niliko hata ingeuzwa 20k hamna mtu angebabaika ingenuniliwa tu.
Kilimo ni kujipanga na watu walijipanga na kujiandaa tangu mapema sana.

kama ni wa kuvamia utababaika na bei msimu utaisha na hujafanya kitu.....

This time kwa ubora wa mbegu, mbolea na madawa ya wadudu kutoboa ni Lazima πŸ’
 
aise hii ni nini bana unaniunganisha na kunilinganisha na makundi ya majangili ya siasa,

Mi nalima bana saahiiπŸ’
 
Wafugaji wa wapi maana sio wa ngorongoro waliotaifishwa mifugo yao.
I can confirm to you without fear of contradictions, kwamba hayupo mkulima nchi hii atachagua kitu ingine wakati wa uchaguzi zaidi ya CCM na Dr.Samia Suluhu Hassan....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…