Hali isiyokuwa ya kawaida tarehe 17 Novemba, 2022 wakati wa mkutano wa wakulima Dr. Bashiru Ally aliongea maneno yenye chuki, kuvunja moyo na yenye uchochezi na kumgombanisha Rais na wakulima ili hali wakulima wanajua mazuri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha muda mfupi.
Dr. Bashiru Ally aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM katika wakati wa serikali ya awamu ya 5 chini ya Hayati Magufuli alikuwa akiratibu vikosi kazi vya kumsifia Hayati Magufuli kwa kazi alizofanya lakini leo anaona Dhambi wakulima wakimsifia Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anazowafanyia wananchi (wakulima).
Tunafahamu kwa kipindi kirefu wakulima walikuwa hawafurahii matunda ya kilimo chao, tozo zilikuwa nyingi za kuwaumiza wakulima, mazao kutokuuzwa nje ya nchi, mbolea kutopatikana kwa wakati na gharama za mbolea zilikuwa juu lakini Dr. Bashiru Ally alikuwa mstari wa mbele kuunda vikosi kazi vya kusifia ili hali mambo yalikuwa magumu sana kwa wakulima.
Leo chini ya Rais Samia Suluhu Hassan wakulima wanafuraha kwa kuondolewa matozo yaliyokuwa yanawakandamiza, leo mbolea zinapatikana kwa wakati na bei ipo chini baada ya serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kutoa fedha ya ruzuku katika mbolea.
Leo tunashuhudia wakulima wa Njombe kuuza maparachichi yao nje ya nchi kwa juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan. Leo tunaona Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuboresha miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji kwa kujenga mabwawa makubwa lengo likiwa kulima wakati wote.
Shida ipo wapi kwa Dr. Bashiru Ally kujipa upofu katika haya yanayofanyika kwa kuwakataza wakulima wasimsifie Rais Samia Suluhu Hassan kwa mazuri anayoyafanya kwa wakulima wa nchi hii? Ili hali Dr. Bashiru Ally alikuwa kasuku wa Hayati Magufuli katika kuyasemea anayofanya hata yale ya kuumiza kwa wakulima?
Tunatambua wakulima wa korosho walichofanyiwa lakini Dr. Bashiru aliku Ally wa mstari wa mbele kusifia machungu haya.
Wakulima tumpuuze Dr. Bashiru Ally, hanajema kwa taifa letu.