wewe mtoa uzi lazima ni msenge flani , tumenunua mbolea enzi za magufuli npk 54- 65, CAN 38- 40, DAP 60 - 70, nk tumeuza parachichi kilo 1800, kahawa kwa kilo hadi 8000, leo nimeuza kahawa kwa 6200, leo hii hakuna mbolea inapungua 65 halafu unataka kusema nin