Wakulima wa Tanzania hamko serious na Kilimo, Yaani Ng'ombe anatoa kilo 25kg za kinyesi kwa wakati mmoja na bado mnalia kwa kupanda bei mbolea ya YARA

Kweli nimeamini sisi wabongo ni wavivu sana.

Hebu fikiria kwa ripoti ya msomi wetu wa viwango vya juu kabisa, Le Professor mwenyewe kule mto MARA, ng'ombe mmoja kwa wakati mmoja tu anatoa kg 25, tufanye kwa hesabu ya chini kabisa, huyu ng'ombe atoe kinyesi mara moja tu kwa siku, zidisha kwa wiki, mwezi then mwaka mara idadi ya ng'ombe tulio nao nchini

Kuna haja gani wakulima kuhangaika na haya mambolea ya YARA, wakati mbolea ipo ya bei nafuu au bure kabisa...Kweli bongo ni nchi ya wavivu....

Le Professor Samwel Manyele Ushamaliza asiyekubali ripoti yako ahamie burundi.

Lakini watu wa MORO TUJUZENI HAPA hahaha, Samahani Le Professor
Pale Dakawa njia kuu ya Moro to Dom si kuna ka ~bwawa miaka na miaka sasa, mle ndani wamasai wananywesha ng'ombe, wanakunya humohumo na kukojoa na zaidi watu wanafanya shughuli zao humohumo kama kuoga na kufua na maji hayo yametwama, Makambale wangapi wanakufaga kwa siku pale? Tujuze?

Nchi ngumu hii hahaha
ng'ombe mmoja kwa wakati mmoja tu anatoa kg 25, tufanye kwa hesabu ya chini kabisa, huyu ng'ombe atoe kinyesi mara moja tu kwa siku, zidisha kwa wiki, mwezi then mwaka mara idadi ya ng'ombe tulio nao nchini

Nadhani wenyeji wa eneo hilo wanaweza kutumia maji hayo kama mbadala wa mbolea kwenye mashamba yao, maana hiyo mbolea tayari ipo katika "solution form".
 
hahaha
 
Kweli nimeamini sisi wabongo ni wavivu sana.

Hebu fikiria kwa ripoti ya msomi wetu wa viwango vya juu kabisa, Le Professor mwenyewe kule mto MARA, ng'ombe mmoja kwa wakati mmoja tu anatoa kg 25, tufanye kwa hesabu ya chini kabisa, huyu ng'ombe atoe kinyesi mara moja tu kwa siku, zidisha kwa wiki, mwezi then mwaka mara idadi ya ng'ombe tulio nao nchini

Kuna haja gani wakulima kuhangaika na haya mambolea ya YARA, wakati mbolea ipo ya bei nafuu au bure kabisa...Kweli bongo ni nchi ya wavivu....

Le Professor Samwel Manyele Ushamaliza asiyekubali ripoti yako ahamie burundi.

Lakini watu wa MORO TUJUZENI HAPA hahaha, Samahani Le Professor
Pale Dakawa njia kuu ya Moro to Dom si kuna ka ~bwawa miaka na miaka sasa, mle ndani wamasai wananywesha ng'ombe, wanakunya humohumo na kukojoa na zaidi watu wanafanya shughuli zao humohumo kama kuoga na kufua na maji hayo yametwama, Makambale wangapi wanakufaga kwa siku pale? Tujuze?

Nchi ngumu hii hahaha
Wewe umezaliwa wapi kushuhudia ng'ombe mmoja akijaza kinyesi chenye uzito wa kgs25 kwa mkupuo?

Hata tembo hawezi kujisaidia zaidi ya kg5 ama 6.

Labda kwa uzito huo ng'ombe unayemuongelea ajisaidie miezi mitatu na apatikane "boy" wa kumfukuzia kila aendako na kumkinga.

Tafiti zingine za hovyo sana, utadhani watu wanatoka sayari ya Mars na hawayajui maisha ya duniani hapa!
 
Mkuu unampinga Le Professor
 
1 Mbolea ya kinyesi haifanyi kazi sehemu zote ,
2 Ardhi ikishazoea artificial fertilizer kama za yara , huwa inajenga usugu wa kukubali mbolea za kawaida ,

Minjingu wana mbolea za bei rahisi tu, nenda kajaribu kulimia Ruvuma uone kama utapata mahindi ya uhakika
 
Back
Top Bottom