Wakulima wa Tanzania wawezeshwe vipi kununua matrekta kwa ajili ya kilimo cha kisasa?

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo.

NB: Trekta ndogo ni takribani Milioni 20 za kitanzania kwa nilivyoulizia.
 
Nenda kwenye kampuni usika kama agricom au newholland utapata kwa njia ya mkopo kwa kulipa asilimia 20 ya bei zeni unapata tractor
 
Kama ni mkula mdogo angalia pato lako usije ingia hasara
 
Mkopo unapewa ukiwa na asset au muajiriwa wa serikali tu .Kwa mkulima mdogo usie na kipato cha uhakika sahau kuhusu hizo tractors endelea kupambana na jembe la mkono for life
Nenda kweny kampuni usika kama agricom au newholland utapata kwa njia ya mkopo kwa kulipa asilimia 20 ya bei zeni unapata tractor
 
Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo.

NB: Trekta ndogo ni takribani Milioni 20 za kitanzania kwa nilivyoulizia.
CCM wanajua kabisa mkulima akishajikwamua ndio bai bai. Haujawahi kujiuliza kwanini kwenye uchaguzi wetu tunafurahi kununuliwa mandege na kujengewa madaraja na masoko. Lakini hakuna anayehoji kupatiwa bima za afya.
 
Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo.

NB: Trekta ndogo ni takribani Milioni 20 za kitanzania kwa nilivyoulizia.
@Idrissou02 kupitia kwenye vikundi (ngumu) au vyama vya Ushirika (Kuna wepesi). Au Kama wewe ni mkulima unayejitosheleza nenda kaulize taratibu ukikidhi vigezo unakopeshwa na kampuni hata TADB.
 
Back
Top Bottom