Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Nenda kweny kampuni usika kama agricom au newholland utapata kwa njia ya mkopo kwa kulipa asilimia 20 ya bei zeni unapata tractor
CCM wanajua kabisa mkulima akishajikwamua ndio bai bai. Haujawahi kujiuliza kwanini kwenye uchaguzi wetu tunafurahi kununuliwa mandege na kujengewa madaraja na masoko. Lakini hakuna anayehoji kupatiwa bima za afya.Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo.
NB: Trekta ndogo ni takribani Milioni 20 za kitanzania kwa nilivyoulizia.
@Idrissou02 kupitia kwenye vikundi (ngumu) au vyama vya Ushirika (Kuna wepesi). Au Kama wewe ni mkulima unayejitosheleza nenda kaulize taratibu ukikidhi vigezo unakopeshwa na kampuni hata TADB.Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo.
NB: Trekta ndogo ni takribani Milioni 20 za kitanzania kwa nilivyoulizia.