sio 3% ya malipo mkulima mwongo mwongo hii n 3% iko kwenye mkataba kama bima ya zao (yeye anaita bima ya ajali)
hii bima ya ajari itakuwa kwenye mkataba unapo ingia mkataba na benki ni umekubali masharti ya kulipia hii bima
sasa dola kushuka si ndo shilingi kuimarika hataki shilingi ipande thamani (kiukweli fedha inapungua maaa kama ulikuwa na dola mia badala upate 2,600 utapata 2,400)
hawa wakulima wawe wanahudhuria mikutano na vyama vyao vitoe semima za mara kwa mara ili kujenga uelewa tofauti na hapo itaonekana kama ni wizi na ujanja ujanja