Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Serikali inaweza kukubana ukawa Busy kulitumikia Taifa na kutusahau Wana humu JF. Tuendelee kuwakumbuka na kuwaita Legends kadhaa ambao waliwika katika Majukwaa mbalimbali kipindi flani. Naanza na hawa Makamanda
GuDume
General Galadudu
Tafadhali walete wengine pia.
Kumbe huko Tesla mkuu. Za wapi? Boston Massachusetts nini? Braza Maghayo anakupa hiYes
Habari
What's going on here
Kina technically MKWEPA KODI Mwanahabari Huru na britanicca huyu upotea akiibuka ni mfululizo wa threads kwa wiki mbili halafu anapotea anakuwaga na personality ya aina yake.Zero IQ shujaa huyu wa matukio tata ya wa manzi.
Wanakuita wanajamvi huku hawakuoni wanasema au unakimbizana na Mzanzibar huko maweseniYes
Habari
What's going on here
Mzee wa chura
Hao wamepewa teuzi tayari?Serikali inaweza kukubana ukawa Busy kulitumikia Taifa na kutusahau Wana humu JF. Tuendelee kuwakumbuka na kuwaita Legends kadhaa ambao waliwika katika Majukwaa mbalimbali kipindi flani. Naanza na hawa Makamanda
GuDume
General Galadudu
Tafadhali walete wengine pia.
Aisee watu wadadisi Nyie😂😂Jamaa kataja ID zake😂😂
🤣🤣NoumaaMzee wa chura
Huyu alikulaga ban ya milele na FaizaFoxyNamkumbuka Malaria Sugu