Wakumbukwe Mashujaa wetu wa JF waliopumzika au kubanwa na Serikali

Wakumbukwe Mashujaa wetu wa JF waliopumzika au kubanwa na Serikali

Serikali inaweza kukubana ukawa Busy kulitumikia Taifa na kutusahau Wana humu JF. Tuendelee kuwakumbuka na kuwaita Legends kadhaa ambao waliwika katika Majukwaa mbalimbali kipindi flani. Naanza na hawa Makamanda

GuDume
General Galadudu

Tafadhali walete wengine pia.
Malegendari karibuni kwa huku tujumuike pamoja
 
Back
Top Bottom