Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezekani wezi kufungana wao kwa waoKusimamishwa tu ndio inatosha, hawawajibishwi!?
Hatua gani inayochukuliwa hata wengine waogope kuiba pesa za serikali!?
Mbowe unamjua?Sifa mwana malevya! Mchengerwa mwenyewe upo hapo kwa sababu ya ukwe!
Haya ndiyo matunda ya kazi za kitaalamu kupewa makada, marafiki na familia.
Mbowe anahusika vipi na uteuzi ndani ya serikali!Mbowe unamjua?
Wapi nimezungumzia Uteuzi wa Serikali?Mbowe anahusika vipi na uteuzi ndani ya serikali!
Na wapi nimezungumzia Mbowe?Wapi nimezungumzia Uteuzi wa Serikali?
Kabisa mkuu, ngedere na nyani wanajuana.Haiwezekani wezi kufungana wao kwa wao
Ilikuwa hakuna namna maana alibambwa red-handed!Huyo Nchengerwa karudisha lile gari wajameni?