Wakurugenzi wa Halmashauri 2 wasimamishwa kazi kwa kushindwa kusimamia Miradi ya Maendeleo

Wakurugenzi wa Halmashauri 2 wasimamishwa kazi kwa kushindwa kusimamia Miradi ya Maendeleo

Ujikute kidagaa usiye na connection na wewe umedokoa....aiseee utakuwa kafara mpaka baada ya uchaguzi. Vidagaa kuweni makini.
 
Ilikuwa hakuna namna maana alibambwa red-handed!
Yeye ni nani atamwajibisha kwa ubadhirifu huo wa gari, maana tusiwe mbele kuwajibisha wengine huku na sisi wenyewe tukiwa na makando kando........ondoa kwanza boriti jichoni mwako ili uweze kuona vizuri kibanzi kilicho kwenye jicho la mwenzio.​
 
Hata wakifukuzwa, baada ya mwezi watateuliwa tena kuwa wakurugenzi katika halmashauri nyingine.
 
Yeye ni nani atamwajibisha kwa ubadhirifu huo wa gari, maana tusiwe mbele kuwajibisha wengine huku na sisi wenyewe tukiwa na makando kando........ondoa kwanza boriti jichoni mwako ili uweze kuona vizuri kibanzi kilicho kwenye jicho la mwenzio.​
Anayepaswa kumwajibisha aliwaambia wale kulingana na urefu wa kamba zao!
 
Wanawake wanapwaya sana kwenye nyadhifa nyingi, tena huo Ukurugenzi wa Halmashauri kwenye vurugu mechi ndo hawawezi kabisaaa. Mnalazimisha mambo ya gender balance wapuuzi nyie.
 
Back
Top Bottom