Yeye ni nani atamwajibisha kwa ubadhirifu huo wa gari, maana tusiwe mbele kuwajibisha wengine huku na sisi wenyewe tukiwa na makando kando........ondoa kwanza boriti jichoni mwako ili uweze kuona vizuri kibanzi kilicho kwenye jicho la mwenzio.

Wanawake wanapwaya sana kwenye nyadhifa nyingi, tena huo Ukurugenzi wa Halmashauri kwenye vurugu mechi ndo hawawezi kabisaaa. Mnalazimisha mambo ya gender balance wapuuzi nyie.