Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Samahani mkuu, mmeona wewe na nani hadi utuletee simulizi kana kwamba nasi tulikuepo huko Tanga na Mwanza...!!Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe.
Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
Haa haaa!Mtoa mada mwezi ukiwa mchanga uwa anajiandikia tu!
Jaza serves mama.Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe.
Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
Hata kama watawapangia ila taswira ya Mama Samia ni chafu sana si kwa machinga tu bali kwa ordinary Tanzanian. Halafu mnaosema Mama tunamchukia mnakosea sana, Mama alikuwa makamu wetu ila tu kauli na matendo yake kwenye baadhi ni mabaya mnoTumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe.
Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
unamanisha hatakiwi kua karibu na MotoMtoa mada mwezi ukiwa mchanga uwa anajiandikia tu!
Yaani akiota ndoto kuwa anampindua Rais, anataka aachwe tu. Mmmmm mtoa mada ni mchokozi!Tahadhari, mleta mada ameandika kutokana na ndoto aliyokuwa akiiota, hayo aliyoandika si matukio ya kweli.
Inatosha wakalime ndizi tuje kununua tukajaze mjiniTumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe.
Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?