Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUTENDA FEDHA ILI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WANANCHI
Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Wametakiwa kuhakiksha wanatenga fedha katika mapato ya ndani ili kuunga mkono juhudi za wananchi katika maeneo yao ya kiutawala.
Agizo hilo limetolewa leo 22 Mei, 2023 Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Deo Ndejembi wakati akijibu swali la Mbunge wa Momba Mhe. Condester Sichalwe aliyetaka kujua ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa maboma 20 yaliyopo katika Wilaya ya Momba
Aidha, Mhe. Ndejembi ameahidi kuwa Serilaki itasaidia