Polisi jijini Dsm imewakamata wakurugenzi wakuu wa kampuni za mafuta za Puma, Total na Oryx waliokuwa kwenye kikao cha kibiashara.
Kadhalika polisi wanamsaka mkurugenzi mkuu wa Lake Oil ili aunganishwe na wenzake.
Imeelezwa wakurugenzi hao wanadaiwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini.
Chanzo: ITV habari!
Isijekuwa kama ya sukari na korosho mwisho wa siku!!biashara ya mafuta ina laana, serikali iachane nayo.
Una akili za kike mnoUsijifanye mjuaji wewe kiazi, najua shell ni jina la kumpuni ya mafuta na watanzania tunaviita vituo vya mafuta sheli kwa sababu ya umaarufu wa kampuni hiyo. Lengo la lugha ni mawasiliano, kama vile tunavyoziita zile pikipiki za miguu mitatu bajaji.
Mambo mengine kujifurahisha tu, hizo ndege wanacheka hadharani tu hila hakuna faida.makampuni yote yaondolewe serikali inunue na kuuza mafuta mbona kwenye ndege tumeweza huku hatushindwi pia Mkulu akiamua na kuagiza, kuna hela sana huku!!
Biashara ya mafuta kuendeshwa na Serikali italeta shida mkanganyiko mkubwa na hilo lilimshinda nyerere mwinyi na ndipo mkapa akaamua kuifanya iwe na ushindani, Serikali wameshindwa kufufua viwanda kibao wakija kwenye mafuta lazima watavirunda sana.Mambo mengine kujifurahisha tu, hizo ndege wanacheka hadharani tu hila hakuna faida.
Ndio wajiingize kwenye mafuta nchi nzima, logistic ya dawa inawashinda tu mpaka zinakosekana. Kwenda kuwaachia serikali pekee biashara ya mafuta ndani ya Tanzania ni kuchezea uchumi.
Hawana hizo hela wala maarifa ya kuendesha biashara ya mafuta peke yao Tanzania.Biashara ya mafuta kuendeshwa na Serikali italeta shida mkanganyiko mkubwa na hilo lilimshinda nyerere mwinyi na ndipo mkapa akaamua kuifanya iwe na ushindani, Serikali wameshindwa kufufua viwanda kibao wakija kwenye mafuta lazima watavirunda sana.
Hata watumishi wa Serikali hawana uelewa mzuri juu ya biashara hiyo na lazima kutakuwa na ufisadi mkubwa ni vigumu Serikali ya CCM ifanye biashara kwa ufanisiHawana hizo hela wala maarifa ya kuendesha biashara ya mafuta peke yao Tanzania.
Hakuna ubaya wa wao kushiriki kwenye soko la ushindani lakini wasije na mambo yao ya ovyo mafuta ni uchumi kuchezea hiyo sector kuna madhara.
Jukumu la kwanza la serikali kwenye biashara ya mafuta ni kuwekeza kwenye storage facilities na pipe line network (bei ya mafuta inatakiwa kuwa sawa nchi nzima) Kwa ivyo ni jukumu kuhakikisha wanawekeza kwenye infrastructure.Hata watumishi wa Serikali hawana uelewa mzuri juu ya biashara hiyo na lazima kutakuwa na ufisadi mkubwa ni vigumu Serikali ya CCM ifanye biashara kwa ufanisi
Walivyoingia ktk biashara hii hawakujua kwamba kuna regulator ambaye ni Chombo cha serikali ??Ngozi nyeusi tumekuwa viumbe wa ajabu sana.
Nikiona mfanyabishara anasumbuliwa huwa naumia sana maana najua usumbufu wa kufanya biashara hapa Tanzania
For security reasons half of the petroleum business ifanywe na tpdc au hiyo subsidiary yao , lakini wasiingie kwa pupa , bali strategic planning lazima ifanyike , kwsnza uwepo wa storage facilities za kutosha na distribution network na kumalizia retail network kama ilibidiJukumu la kwanza la serikali kwenye biashara ya mafuta ni kuwekeza kwenye storage facilities na pipe line network (bei ya mafuta inatakiwa kuwa sawa nchi nzima) Kwa ivyo ni jukumu kuhakikisha wanawekeza kwenye infrastructure.
We mwenzangu kuna storage yoyote ya serikali ya mafuta unaijua iliyopo Tanzania nje ya bandari?
Wao wakishaona vinaelea ndio udandia, hii nchi serikali ijufinze huko kwenye kuandaa vijana wa kesho tunahitaji akina Bashe 30 kuendana na kasi ya uwekezaji unaofanywa leo.
Sio vijana ambao kila wakikaa Nyerere tu sijui sasa hivi wanasoma vitabu gani etc with nonsense, lakini awana political agenda unataka kuifanyia nini Tanzania.
Ina maana hiyo kodi ya serikali ni Fixed?Price kubwa ya mafuta ni kodi ya serikali. Kila lita 1 serikali inachukuwa kodi ya 760.
Hii issue inatakiwa ichukuliwe taratibu sana. Maana mifano ya korosho, mbaazi, sukari ni matukio ambayo yametuletea shida kubwa sana
Total ndiyo Shell pekee zinazouza mafuta!!! Unamaanisha nini?Mmmh! Mbona Total ndio sheli pekee zinazouza mafuta huku mikoani, wengine ni kama wamegoma hivi.
Washtakiwe na wapewe kesi ya uhujumu uchumi na wapelekwe Segerea wakae hata mwaka. Walikuwa na kikao cha nini?. Kikao cha kutulangua?. Hawakufurahi bei ilipoteremshwa siku za karibuni. Ni nani hao katika nchi hii?.
You are 100% right theoritically but practically there might be problems in some aspect of your approach.For security reasons half of the petroleum business ifanywe na tpdc au hiyo subsidiary yao , lakini wasiingie kwa pupa , bali strategic planning lazima ifanyike , kwsnza uwepo wa storage facilities za kutosha na distribution network na kumalizia retail network kama ilibidi
Ifwact waifufue tipper , au njia nyingine ni shares za makampuni ya mafuta ziwe traded dse.
Ili kuongeza uwazi ktk hii biashara .
kiongozi , Magu hacheki na kima, achia tawi uliloshikilia kuwa hatuwezi mkuu kwa uongozi wa Magu kila kitu kinaenda na tukiamua tutawin na huko pia punguza kasumba mambo si kama wakati uleMambo mengine kujifurahisha tu, hizo ndege wanacheka hadharani tu hila hakuna faida.
Ndio wajiingize kwenye mafuta nchi nzima, logistic ya dawa inawashinda tu mpaka zinakosekana. Kwenda kuwaachia serikali pekee biashara ya mafuta ndani ya Tanzania ni kuchezea uchumi.