For security reasons half of the petroleum business ifanywe na tpdc au hiyo subsidiary yao , lakini wasiingie kwa pupa , bali strategic planning lazima ifanyike , kwsnza uwepo wa storage facilities za kutosha na distribution network na kumalizia retail network kama ilibidi
Ifwact waifufue tipper , au njia nyingine ni shares za makampuni ya mafuta ziwe traded dse.
Ili kuongeza uwazi ktk hii biashara .
You are 100% right theoritically but practically there might be problems in some aspect of your approach.
Kwenye Oil and Gas market structure, government Taxes and levies have huge influence how the industry evolves.
Share of the market at anytime time dictates how companies will fare. You can’t compare big companies with financial resources, their ability to expand and attaining efficiency; to small independent retailers who depend on commercial banks financing to attain the same goals.
Ni hivi kuandika appropriate entry strategy ya TPDC na early positioning yao ndani ya soko kwa mazingira ya Tanzania, growth strategy yao waweze shindana na likes of current large retailers inataka report kama ya maneno 10,000 hivi.
There is a lot to look at and evaluate na mtaji ni kigezo kikubwa sana kujua unaanzia wapi based on existing market structure, wanahitaji mtu aliesomea oil and gas management. Sio mtu aliesoma sijui petroleum engineering to write such report.
Either way the more the merrier ni hivi serikali kama imeamua kuingia iingie kama independent retailers wengine kushindana, ufanisi wa kwenye sector ya mafuta unatokana na large corporates competing. Kwa nchi za wenzetu imefikia hatua small independent retailers wapo sehemu ambazo makampuni makubwa awajaona sababu ya kufika which is good maana huduma inafikia watu wengi.
Isitoshe kuwa na makampuni makubwa kuna faida nyingi wakati serikali aina hela kesho Total na Puma wanaweza ingia joint venture wajenge pipe kutoka Dar mpaka Dodoma na kufungua distribution centre kubwa si kwa faida yao tu bali vituo vya mafuta mikoa ya karibu waweze kununua kwao na ku encourage new start up businesses. Vitu kama ivyo kutokea kwakuwa ni long term investment watu wanataka stability ya policies za serikali na wafanye mambo kwa strategy zao.
Swala la energy security ni kitu kingine ideally serikali inatakiwa kuwa na storage zake za kuhifadhi mafuta yenye uwezo wa kuhudumia nchi si chini ya miezi mitatu (that is according to ‘International Energy Agency’ recommendations) kwa sasa tunauwezo wa kuhifadhi mafuta kama sijakosea ya mwezi mmoja tu. Yaani atujamaliza huku tunakimbilia kuvuruga mengine.
Hii sector yetu ya mafuta ni changa sana hakuna sababu ya kuanza kuvurugua mambo.