dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Wapi huko nduguBei ya mafuta katika soko la dunia imeshuka.lakini hapa nchini Kuna sehemu watu wananunua Lita 1 ya petrol kwa zaidi ya shilingi elfu 4.hapana huu ni uhujumu uchumi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko nduguBei ya mafuta katika soko la dunia imeshuka.lakini hapa nchini Kuna sehemu watu wananunua Lita 1 ya petrol kwa zaidi ya shilingi elfu 4.hapana huu ni uhujumu uchumi.
We upo nchi gani, hiyo ni kinyume na sheria za nchi yetu, ni ujumu uchumi,yani unataka kupata super profit ununue kwa bei nafuu uje uuze kwa bei ya juu, pia unafanya bidhaa inaadimika sokoni, vijana mnataka kuongoza nchi ila vitu vya msingi hamvijuiSasa si ndo biashara?,mfano mwaka huu watu wamestock mpunga kisha baadae kuuza kwa bei juu,
Hapa mi naona hii biashara ya mafuta ifanywe na serikali,hawa jamaa wafanye kazi za gereji kurepair magari,etc
Mmmh! Mbona Total ndio sheli pekee zinazouza mafuta huku mikoani, wengine ni kama wamegoma hivi.
Wajinga hawa wapewe kesi ya uhujumu Uchumi. Mungu ambariki Magufuli. Viva baba kwene hili umenikoshaa.
[/QUOT
kipindi unapongeza kumbuka na korosho pia
Bei za mafuta huamuliwa na soko la dunia sio wao ewura wao wanatoa miongozo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu wanamjua jiwe hataniwi. Wewe hukuona ile habari ya kufungua petrol station ya serikali. I think it was in Dodoma. So kiama chao kinakaribia. Ila mkuu wewe fikiria mtu kutoka full tank ya 125k to 75k then wajinga wachache wanataka kuturudisha Misri wakati wenzao tushaanza kuenjoy maisha ya Kanani
Washugulikiwe
Ova
Mkuu price ya mafuta inategemea na vitu vingi sana. Bei ya shipping, gharama ya kupakua na kuhifadhi, gharama ya internal distribution, bado kodi kibao, wafanyakazi na gharama za kulipia petrol stations. Hivyo sikuona haja ya kutumia bunduki kuwatisha. Serikali inanguvu sana
Ingewaita wakae waongee. Hata wao sio wendawazimu, wanasababu zao. Naomba sana msitupeleke Mtwara na Lindi na Mtibwa na Kilombero plus TPC ( korosho na sukari). Piga ua serikali haiwezi kusambaza mafuta hata mkoa mzima tu wa Dar. Hata hapo Dodoma japo ni chimbo lao hawataweza kufika Dumila. Wataishia hapo Bungeni tu. Mark my words.
Kwanini wasiwasikilize halafu mkawapinga kwa hoja na sheria? Kwani hao ni ACT mseme wanapanga maandamano?Bei ya mafuta imeshuka sana kutoka $60 na hivi sasa ipo kama $25. Hiyo ni kwa sababu hakuna soko la mafuta kutokana na COVID-19 ndege nyingi ziko parking. demanding ya mafuta kwenye ulimwengu wa kwanza imshuka sana kutokana na lockdown etc. BA wanawafukuza marubani karibu 300 na wengine watapunguza mishahara kuona mwelekeo, kwa hivi sasa mafuta yapo chini sana. Je, walikuwa wanapanga nini? Kuwakomoa Watanzania kwa bei ghali?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu wanamjua jiwe hataniwi. Wewe hukuona ile habari ya kufungua petrol station ya serikali. I think it was in Dodoma. So kiama chao kinakaribia. Ila mkuu wewe fikiria mtu kutoka full tank ya 125k to 75k then wajinga wachache wanataka kuturudisha Misri wakati wenzao tushaanza kuenjoy maisha ya Kanani
Kwanini wasiwasikilize halafu mkawapinga kwa hoja na sheria? Kwani hao ni ACT mseme wanapanga maandamano?
You real said brother unaijua industry ya Mafuta vizuri within no time tutaanza kulia!!na kama ilivyo sema aerikali haiagizi hata lira moja ya mafuta so haina Uwezo wa kusambaza Mafuta hata kwa siku inchi nzima!tuache comedies jamani
Chadema njooni huku wakurugenzi wa mafuta wanaonewa....tehtehtehPolisi jijini Dsm imewakamata wakurugenzi wakuu wa kampuni za mafuta za Puma, Total na Oryx waliokuwa kwenye kikao cha kibiashara.
Kadhalika polisi wanamsaka mkurugenzi mkuu wa Lake Oil ili aunganishwe na wenzake.
Imeelezwa wakurugenzi hao wanadaiwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini.
Chanzo: ITV habari!
Aiwezekani makampuni yote hayo yafanye collusion, tukisikiliza upande wa pili lazima tatizo litakuwa upande wa EWURA au TPDC.
Juzi kati TPDC walidai wao peke yao watakuwa na uhalali wa kuagiza nusu ya mafuta yanayoingia nchini kitu ambacho ukiangalia tu hili linaweza kuwa tatizo strategically kwa wengine.
Sasa sijui wanataka kuwalangua retailers wengine au kuna sababu zingine lakini nina imani tukisikia sakata lote tatizo litakuwa upande wa serikali.
Hizi ndio sababu watanzania wengi wanaonaga serikali isifanye biashara, tatizo mara nyingi utakuta sio ushiriki wao bali wanaingiaga bila ya strategy ya ushindani kupitia mamlaka yao wanavuruga kila kitu.
Nimpongeze Hussein Bashe juzi kati kwenye interview yake kasema ata hawa wazalishaji sukari wa ndani bei zao ni kweli faida yake ni ndogo kutokana na production costs zao au wanatumia tu oligopoly kuweka margin yenye ya faida juu sana. Kwa ivyo wameanza mchakato wa kuangalia cost zao kujua kama kweli mtanzania adhulumiwi kwa kuwekewa bei za juu. Wataendelea kuwalinda wazalishaji wa ndani lakini serikali aiwezi kuwafumbia macho wazalishaji wa ndani kama wao wenyewe awapo fair kwenye bei zao.
Kuna watu serikalini wana namna zao za kufanya mambo kupitia mamlaka waliyo nayo, ulinzi wanaopewa kupitia cover ya uzalendo na kuwalinda watakuja na vitu ambavyo vinaishia vuruga utaratibu wa kila kitu. Yaani hapa kwenye mafuta tatizo litakuwa upande wa serikali tu tukisikia upande wa pili.
Hawezi hao ni MABEBERU!!! Thubutuuu, ila wangekuwa ni watz, kesho tungesikia mengineee, lakini, PUMA, ORXY, TOTAL!!!Wajinga hawa wapewe kesi ya uhujumu Uchumi. Mungu ambariki Magufuli. Viva baba kwene hili umenikoshaa.
Hizo ndio sheria zi kipumbafu dunia ya leo ukicheza dk ama saa chache tu unakuwa umepoteza biashara kubwa.Mromboo, mimi sifahamu kwa nini wamekamatwa,nimetoa maoni yangu tu kufuatana na bei ya mafuta ilivyo shuka kutokana na Covid-19. Hilo ni punguzo la zaidi ya 50%. Suala la wao kukaa vikao sifahamu, tatajua kesho au mtondogoo kama jeshi la Polisi watatoa ufafanuzi (lakini uzi hapo juu umeandika wanavuruga mfumo wa usambazaji). Jeshi la Polisi ndio lenye mamlaka ya kumkamata mtu yeyote wanapokuwa na taarifa za uhalifu kwa kukusudia au kupanga njama. Ndio wenye mamlaka kikatiba, wanaweza kukusweka ndani then kesho yake wanakuachia na huwezi kuwashitaki popote.