Uchaguzi 2020 Wakurugenzi waliowaondoa Wagombea wa Upinzani kwa maelekezo ya CCM wafutwe kazi, wana ajenda yao wakiachwa wataleta machafuko

Magufuli anaposema hawezi kulisha chakula watoto wa baba mwingine, akimaanisha kupeleka maendeleo sehemu walizochagua upinzani. Hivi hiki chakula cha kuwalisha watoto wake anakipata wapi?
Kwenu
 
Magufuli anaposema hawezi kulisha chakula watoto wa baba mwingine, akimaanisha kupeleka maendeleo sehemu walizochagua upinzani. Hivi hiki chakula cha kuwalisha watoto wake anakipata wapi?

Huyu mtu ni MHUNI na MBAGUZI wa wazwaz! Tanzania hii ni moja bila kujali eneo la Upinzani au la CCM!!
 
Swali fikirishi kwanini wakurugenzi wengi waliteuliwa karibia na mchakato wa kupiga kura
 
TUME iwakatae, warudishwe IKULU WALIKOTEULUWA,

WAMEKOSA SIFA ZA KUISIMAMIA UCHAGUZI.

WAME
MDHALILISHA HATA ALIYEWATEUA.
KWAMBA ANATEUA WATU WASIOFAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…