KwenuMagufuli anaposema hawezi kulisha chakula watoto wa baba mwingine, akimaanisha kupeleka maendeleo sehemu walizochagua upinzani. Hivi hiki chakula cha kuwalisha watoto wake anakipata wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwenuMagufuli anaposema hawezi kulisha chakula watoto wa baba mwingine, akimaanisha kupeleka maendeleo sehemu walizochagua upinzani. Hivi hiki chakula cha kuwalisha watoto wake anakipata wapi?
Magufuli anaposema hawezi kulisha chakula watoto wa baba mwingine, akimaanisha kupeleka maendeleo sehemu walizochagua upinzani. Hivi hiki chakula cha kuwalisha watoto wake anakipata wapi?
Ndiyo maana ana sura mbaya sanani miongoni mwa wakurugenzi wanaotia aibu sana
Swali fikirishi kwanini wakurugenzi wengi waliteuliwa karibia na mchakato wa kupiga kuraBaada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa.
Hawaaminiki tena na wala hata wao wenyewe hawajiamini, kwa mfano Mkurugenzi wa Ubungo Beatrice Dominic, pichani
Hapaswi kuwa msimamizi wa uchaguzi wa eneo hilo kwa vile anazo chuki binafsi na Mstahiki Meya wa Zamani wa Manispaa hiyo ambaye pia ni mgombea ubunge wa CHADEMA wa Jimbo la Ubungo, mama huyu akiachwa ataleta machafuko ambayo hayatakuja kukoma, aondolewe mapema msije kusema hatukuwaambia, sambamba na huyu wakurugenzi wengine wote walioboronga waondolewe, hawaaminiki tena.