Wakurugenzi wapya walioteuliwa watakiwa kuripoti TAMISEMI wakiwa na CV pamoja na vyeti vyao

Wakurugenzi wapya walioteuliwa watakiwa kuripoti TAMISEMI wakiwa na CV pamoja na vyeti vyao

MR TOXIC

Senior Member
Joined
Jun 4, 2019
Posts
190
Reaction score
525
Ina maana waliteuliwa bila kufanyiwa vetting?

FB_IMG_16279864308674755.jpg
 
Only in Tanzania Unateua Mtendaji DED, Hauna CV yake ila unajua tu ya Kwamba ni MwanaCCM. Hatutakaa Tukafika " Kujenga Nchi Kwanza si Kazi Rahisi Kivile. Hawa ndio Watasimamia Wilaya Zetu ktk Allocation and monitoring of our scarce resources. Daaa!
 
Yaani hata Makatibu tarafa wengine wana CV kubwa kuliko hawa wateule wa safari hii.

JK aliaanza kukishusha hadhi cheo cha uDC, Mwendazake akamalizia kwa maRC na Wakurugenzi ..... At least kwa vyeo vya DC na RC ni vya kisiasa zaidi, lakini kwa hili la Wakurugezi kuokotezwa mtaani ..... that is bad!! Hapa mama kanishtua kabisa!!
 
DED ni CEO haitakiwi kuwa first appointment. Succession Plan kwenye vyeo nyeti kama hivi ni muhimu.
Mkuu nakubaliana nawe kuwa cheo cha DED ni CEO, mtu huteuliwa kwenye cheo ambaye ana uzoefu kwa maana kupanda cheo, hivyo inamaana alishaajiriwa nngazi ya chini ambako vetting ilifanyika. Leo baada ya miaka 60 ya uhuru DED anayeuliwa tu bila kujua sifa zake za elimu na taaluma. TUMEKWAMA
 
Back
Top Bottom