Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Angalia hii video ya huyu jamaa ambaye amekata tamaa. Yeye anasema hawezi kuacha kuiba hata umkamate mpige umuue.
Iseee high level of traumaAngalia hii video ya huyu jamaa ambaye amekata tamaa. Yeye anasema hawezi kuacha kuiba hata umkamate mpige umuue.
View attachment 3463821
Kuna mahala tuna kwenda pagumu sanaKadiri miaka inavyosonga ndipo vijana wengi waliokata tamaa wanaongezeka .....kijana kama huyu anafaa sana kuwa kwenye kikundi cha waasi
Na moto wake ukiwaka ni vigumu sana kuuzuia maana imemea kwa siku nyingi.Hatari sana
Ni balaaNa moto wake ukiwaka ni vigumu sana kuuzuia maana imemea kwa siku nyingi.
Guyu ukimwambia ajiunge na waasi hawazi mara mbili, kwako kuishi na kufa hakuna tofauti kabisaKadiri miaka inavyosonga ndipo vijana wengi waliokata tamaa wanaongezeka .....kijana kama huyu anafaa sana kuwa kwenye kikundi cha waasi
Bingwa amejielekeza vibaya.Halafu kuna kenge hapo inasema, bango ni la serikali, kodi zetu 😂, kama ni hivyo muacheni achukue nae si ana kodi yake humo.
Kukataliwa, ugumu wa maisha, malezi. Dogo kimsing anasema hatajiua, atauawa na walimwenguIseee high level of trauma