Huyo Hana baya anakiti chake mbinguniAngalia hii video ya huyu jamaa ambaye amekata tamaa. Yeye anasema hawezi kuacha kuiba hata umkamate mpige umuue.
View attachment 3463821
Tulichukua sita tu kwa ajili ya kuota moto baada ya kupotea njia makaburini.Siyo Arusha kweli hapo au huyo si mzee wa kula kiapo Moisemusajiografii akiwa na ndugu yake Busu la Kenge oya adriz njoo huku unaitwa