Kwanza mnapaswa mumuelewe mjomba hasa hapo aliposema!
”Mimi mwenyewe mtu wa kazi”
”Sina hela niache kazi”
”Siwezi nikaacha kazi"
”Hela sina kazi sina”
Jamaa nimeyapenda majibu yake,yupo clearly kwamba alichofanya kama mwenye mabango yake angekuwa ametengeneza mazingira rafiki ya kazi mitaani leo asingevunja mabango yake