Wakuu acheni michepuko

Wakuu acheni michepuko

Mwanaume sikia hii uwe mume bora

Mwanaume nguvu zako ni kwa ajili ya mke mmoja siyo wanawake wotee

Mithali 31 :3

Usiwape wanawake nguvu zako :

Mungu alimpa mwanaume mke huyu mmoja kwenye bustani ya edeni. Huyo wa pili anaye fanya ndoa aina amani ameletwa na shetani kushindana na mungu. Mwanzo 2:18 - 25

Samsoni alikuwa na nguvu nyingi lakini kwa kuwa alipenda makahaba akamvaa derila kumbe hakuja kwa mapenzi alikuja kuchukua nguvu za samsoni.

Waamuzi 16:1

Samsoni akaenda gaza akaona huko mwanamke kahaba akaingia kwake.

Waamuzi 16:6

Derila akamwambia samsoni tafadhali uniambie asili ya nguvu zako nyingi na jinsi uwezavyo weza kufungwa ili uteswe.

Samsoni kwa kubembelezwa na derila akimdanganya anampenda alitoa nguvu zake naatimae wafilisti waliomtuma derila wakamuua samsoni waamuzi 16:15-23

Nini unajifunza hapo mke wako ndio anatakiwa apate nguvu zako hao wanawake wazuri unaowaona sasa wapo kazini wametumwa na shetani

Kaka zangu na baba zangu. Mke wako ni mzuri sanaa na ndio mana ulimuoa acha zambi itakuuwa shetani yupo kazini anatumia warembo. Mbona kabla ujaoa ujakuwa hivyo? Tafakari sanaa mungu akukomboe kupitia andiko hili

Mithali 18 :22

Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa bwana.

Muulize anaye mpenda mke wake kweli na asiye chepuka akuonyeshe mafanikio yao ndio utaamini kuwa neno la mungu ndio usalama wako ubarikiwe sanaa kaka na baba

View attachment 2234655
Hujaulizwa
 
Back
Top Bottom