Car4Sale Wakuu amarok model 2014 cc inauzwa 29 million

Car4Sale Wakuu amarok model 2014 cc inauzwa 29 million

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Posts
1,540
Reaction score
865
Inauzwa million 29 imepata ajali kidogo tu kwa mbele documents zote zipo sawa na aidaiwi kitu chochote Karibuni sana wakuu
70f617fb0bfafc05b0c15603bb394c97.jpg

fdcdfdafff2df7ddb54d419b6c4854bc.jpg

67627104ab0683d98d32d452b86d0c12.jpg

74a248df3db7a2291c8138711b0c8b2d.jpg

Karibuni sana wakuu
 
Na imepata ajali kidogo tu karibuni sana ambayo bei hii ni ndogo sana kwa gari hii ambayo service yake pia sio kubwa sana
d87627e83ddd3759eba23fdda55e7132.jpg

d86131ec1c709f974745614c2bce2fad.jpg

063028fdbffa3dae06f236112f932461.jpg

722712cba6074cc871d415706c493720.jpg

Karibuni sana wakuu
 
Duuuhh mbona kama siamini.

Mileage yake ngapi?
 
Mkuu picha za ndani pia zina umuhimu mkuu....maana za engine naona huwezi tupatia....

I am interested.....
 
Back
Top Bottom