Car4Sale Wakuu amarok model 2014 cc inauzwa 29 million

Car4Sale Wakuu amarok model 2014 cc inauzwa 29 million

Mkuu ungesema ushuru wa bara kiasi gani maana gharama ya kubeba tuu bila ushuru haisadii ili mtu aone ni bora anunue huko au laa na kwa bei gani...
 
Hapo kwenye ushuru na kulivusha laki sita nina mashaka mdau.
 
Mpaka kuliweka barabarani Inagharimu kiasi gani mbali na hiyo Mil 4 mkuu?
 
Gari ipo vizuri.Na ZANZIBAR gari hazina nyendo,mji mdogo
To be stable uwe na kam extra 1.5 m mpaka Dar na vibali vyote.

Laki 6 haiwezi kuwa tofauti ya kodi,maana usafiri ni rahisi sana
 
Gari ipo vizuri.Na ZANZIBAR gari hazina nyendo,mji mdogo
To be stable uwe na kam extra 1.5 m mpaka Dar na vibali vyote.

Laki 6 haiwezi kuwa tofauti ya kodi,maana usafiri ni rahisi sana
Shukran sana mkuu kwa kunisaidia kuwajulisha@zanzibar spices:
 
Vitz bado Iko sokoni karibuni sana
7047bbfc062f88c55a0fc00dd130e48d.jpg

Piga 0766-195115
 
Back
Top Bottom