sirajj johnn
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 1,540
- 865
- Thread starter
- #121
Na usafiri ukiwemo mkuuUmesema ushuru laki 6, vipi gharama za kuifikisha bara.
Karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na usafiri ukiwemo mkuuUmesema ushuru laki 6, vipi gharama za kuifikisha bara.
OKZote jamii moja tu ya Baby Walker, dont try them at wakwez place
mkuu naomba utujulishe ushuru wa kuileta bara Ni kiasi gani maana laki sita najua Ni gharama ya kulisafirisha. Au Kama vipi nikupe 4ml cash mengine ntamaliza mwenyeweKaribuni sana wakuu vitz bado iko sokon
![]()
Piga 0766-195115
Kama uko serious kwa hiyo million 4 nipgie kwa hii number 0766-195115mkuu naomba utujulishe ushuru wa kuileta bara Ni kiasi gani maana laki sita najua Ni gharama ya kulisafirisha. Au Kama vipi nikupe 4ml cash mengine ntamaliza mwenyewe
Karibu sana mkuuDah kametulia sana haka kandinga..Nimekolea zaidi na hio digital dash hapo ndani!
Hiyo bei haipoNakupa 3.5m
Bado bei ipo juu. Nasubiria ifike mil 3Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu vitz inauzwa kwa million tano tuu Iko katika hali nzuri imara na nzuri sana Gari iko Zanzibar na ushuru wake mpaka bara ni laki sita(6)
Ewe mwana jf chukua hii gari maana haili sana mafuta
Piga 0766-195115
E-mail sirajimsilanga55@gmail.com
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibuni sana wakuu
Piga 0766-195115
Karibu sana na Ahsante sana.
Ok mkuuBado bei ipo juu. Nasubiria ifike mil 3