sirajj johnn
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 1,540
- 865
- Thread starter
- #21
Karibuni sana wakuu
Karibuni sana wakuu
Karibuni sana wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
T 240 DBHGari ina namba gani mkuu
Kila kitu kiko kwenye card hapo mkuu karibu piga number 0766-195115Gari ina namba gani mkuu
Ya serikali halafu unasema imelipiwa ushuru wote?![]()
![]()
Karibu sana mkuu
Gari inamilikiwa na serikali bima wanaiuza kwa sababu zipi?
Ilivyo pata ajali imeingia makubaliano na watu wa bima tuiuze karibu kama uko serious kila kitu nimeshakuwekea mpaka card yake nadhani umeionaGari inamilikiwa na serikali bima wanaiuza kwa sababu zipi?
Injini ni nzima kabisa mkuuSwali la msingi,
Kwenye hiyo ajali, Engine imeguswa??
Iko Zanzibar na yote hayo yashafanyika ndo maana tunaiuzaMkuu hii gari ipo wap? Maana inaoneka iliingia serikali kama sikosei ya mapinduzi zanzibar alafu kuna watu walinunua hapo katikati, sasa naomba kujua sasa hivi ipo wap znz au bara? Na je inamilikiwa na nan private au gvmnt? Tatu nasikia makampuni ya bima mara nying yakitaka kuuza gari anauziwa mwenye mali kwanza kama ameikataa au kushindwa ndio wananunua watu wengine je nyie hamkufanya hilo?
Sio kubeza biashara za watu mkuu na kama unataka kuona picha zote nishaweka pitia huu Uzi wote utaona mkuuKhaa! Mkweche huu kwa milioni 29? Nilijua it was too good to be true. Haya weka na picha ya dashboard tuone hiyo airbag ilivyolipuka.