mk4
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 285
- 328
Iyo gari spare parts zake ni bei sana,usishangae ikafika 20 mil,najua coz boss wangu anayo kufanya service ya kawaida kama kumwaga oil tu na vitu vidogo vidogo 1mil inakata sembuse kununulia taa sijui nn? Hapo kunakazi sana baadaa ya kununua nalijua ilo gari vizur,jiandae kweli siyo toyota iyo mkuuhebu acha kuaminisha watu uongo!
taa gani zinahitajika hapo? au bonnet gani linahitajika hapo, wakati unaona ni kurekebisha tu, even hivyo vitu vyote ulivyotaja ni mafikirio, lakini simply kwa wataalamu wa gari ukishaona picha hapo! unajua nini cha kurekebisha !
20mil ya nini yote??