Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Ushuru laki 6 kuivusha laki nneHapo kwenye ushuru na kulivusha laki sita nina mashaka mdau.
Million 5.5 mkuuMpaka kuliweka barabarani Inagharimu kiasi gani mbali na hiyo Mil 4 mkuu?
Shukran sana mkuu kwa kunisaidia kuwajulisha@zanzibar spices:Gari ipo vizuri.Na ZANZIBAR gari hazina nyendo,mji mdogo
To be stable uwe na kam extra 1.5 m mpaka Dar na vibali vyote.
Laki 6 haiwezi kuwa tofauti ya kodi,maana usafiri ni rahisi sana
Mdau hapo bado 450,000.00Tshs ya usajili. ukijumlisha zote hizo ni almost 1,500,000.00tshs.Ushuru laki 6 kuivusha laki nne
Uko sawa mkuuMdau hapo bado 450,000.00Tshs ya usajili. ukijumlisha zote hizo ni almost 1,500,000.00tshs.