Njoo ujiunge kwenye chama chetu cha kufa kuzikana ni kwa wale wanaoelekea kua na dalili za kufa kufa, unakaribishwa mkuuUKWEL NSHAPIGA HESAB ZA KUKMBIA AU KUJIMALZA ILA ZOTE ZIMEGOMA,NAPANGA LEO LEO KWENDA KANISANI!
Pole mkuuBRO JAPO UTAKUWA MDOGO KIUMRI BINAFSI NIMEKUELEWA,,
MAISHA NI UPUMBAVU MKUBWA,NINAYO KAZI,JAPO INALIPA KIDUCHU ILA NIMESHIDWA KUFANYA KILA KITU(NAMAANISHA HATA KMOJA SIJAFANYA NA NNA 10YRS KAZN..
NAKUWA NATAMANI SIKU ZA MSHAHARA ZISIFIKE KWANI ZIKFKA WADENI NDO HUNIUMIZA KICHWA ZAIDI,NIKIUMIZWA HISIA PIA NA JIFICHA NIKIWA HUKO SILI,SICHUKUI DEMU ILA NABET NA KUNYWA POMBE JAP6 ZINANIDHURU!!
NIMEFANYA HIV KWA MUDA WA MIAKA KAMA 2 MFLULZO,
MATOKEO;NIMESHUKA KILO SANA,
NIMEUZA VITU VYANGU VYOTE,
SITAKIW NILKOPANGA KWN MKE NDO KAINGIA MKTABA WA UPANGAJ
SIWAJAR WATOTO
NINA MADENI MAKUWA HAYALIPIKI!
SIWEZ KWENDA AU KUMTEMBELEA MTU NA TUKAONGEA!
UKWEL NSHAPIGA HESAB ZA KUKMBIA AU KUJIMALZA ILA ZOTE ZIMEGOMA,NAPANGA LEO LEO KWENDA KANISANI!
Pole chifu kwa unayopitiaKwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Ktk Uzi wako mmoja ulisema umesoma mamb ya uhasibu na pia uwezo upo hvyo unahitaji kushauriwa either ukasome master Kisha PhD au uende ukapige diploma ya uhandisi was umeme au ujenzi ..
Sasndugu yangu hzo stress na depression umezitoa Wapi inaonekana uko ktkfamilia borazaid embu tulia
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ya kufatwa pm, halafu jiongeze sina muda wa kujibishana na weweHadhi ipi hio ya kua na depression?
Ushapagawa tayari, 😆 nani kasema ana huo mda wa kubishana na wewe hutaki kujibu kaa kimya pita kushoto life is too short we are all going to die tomorrow,Ya kufatwa pm, halafu jiongeze sina muda wa kujibishana na wewe
Karibu kwenye chama chetu cha kufa kuzikana kigezo uwe na dalili za kufa kufa tu unakua mwanachama hai,Nimejaribu kidogo kuweka mawazo yangu maana nilipita huko
Depression is real mazee,, yani umekuta comment yangu pale ukaingiza mada isiyohusiana,,,,, na bla bla nyingine saiv nimepagawa aiseeeUshapagawa tayari, 😆 nani kasema ana huo mda wa kubishana na wewe hutaki kujibu kaa kimya pita kushoto life is too short we are all going to die tomorrow,
Ila Stressors ndio hupelekea Stress ambayo hupelekea Depression.Depression ni kama kupoteza apetite ya maisha.Stress ni kuwa na appetite na usivyoweza kupata kwa hali yako ya sasa.Ukikosa kwa muda mrefu na appetite ikipote unaingia katika deep stress ambyo ndo depression.Watu wanachanganya depression na stress
Hiyo sio depression, hiyo ni stress,
Stress ni rahisi kutibu, ukitatuliwa hilo tatizo tu inaondoka, mfano hapo ukipewa kazi tu hapo au mtaji mambo yako yanakuwa safi
Ila depression haitibiki kirahisi, unaweza kuwa bilionea ukawa unateswa na depression
hahahaha huna depression mkuu, sema mawazo ya jamii inakuonaje baada ya kusoma na kutegemea utakua mkomboz wa familia ama utapata hela na kuwa na maisha mazuriMkuu Ni depression hii ndio inanifanya hata kazi inakuwa ngumu kuipata
Yeas, depression is very real over here so ushanjunjwa leo tayari au ndio unapasha misuli?Depression is real mazee,, yani umekuta comment yangu pale ukaingiza mada isiyohusiana,,,,, na bla bla nyingine saiv nimepagawa aiseee
Bado chama chetu cha kufa kuzikana kinahotaji wanachama haujachelewa mje mjiunge, kwa wale wanaojisikia dalili za kufa kufaTuungane maana siyo nyinyi tu.sema hili ni janga la taifa
Siwezi kujidhulu nitapambana mpaka mwishoKiongozi kama nini we jikatae tu maisha yenyewe hayaeleweki.
Tufe tu mkuu kwani tunapata hasara gani?Siwezi kujidhulu nitapambana mpaka mwisho
🚮🚮Yeas, depression is very real over here so ushanjunjwa leo tayari au ndio unapasha misuli?