Wakuu depression inanimaliza

Wakuu depression inanimaliza

BRO JAPO UTAKUWA MDOGO KIUMRI BINAFSI NIMEKUELEWA,,

MAISHA NI UPUMBAVU MKUBWA,NINAYO KAZI,JAPO INALIPA KIDUCHU ILA NIMESHIDWA KUFANYA KILA KITU(NAMAANISHA HATA KMOJA SIJAFANYA NA NNA 10YRS KAZN..
NAKUWA NATAMANI SIKU ZA MSHAHARA ZISIFIKE KWANI ZIKFKA WADENI NDO HUNIUMIZA KICHWA ZAIDI,NIKIUMIZWA HISIA PIA NA JIFICHA NIKIWA HUKO SILI,SICHUKUI DEMU ILA NABET NA KUNYWA POMBE JAP6 ZINANIDHURU!!
NIMEFANYA HIV KWA MUDA WA MIAKA KAMA 2 MFLULZO,

MATOKEO;NIMESHUKA KILO SANA,
NIMEUZA VITU VYANGU VYOTE,
SITAKIW NILKOPANGA KWN MKE NDO KAINGIA MKTABA WA UPANGAJ
SIWAJAR WATOTO
NINA MADENI MAKUWA HAYALIPIKI!
SIWEZ KWENDA AU KUMTEMBELEA MTU NA TUKAONGEA!

UKWEL NSHAPIGA HESAB ZA KUKMBIA AU KUJIMALZA ILA ZOTE ZIMEGOMA,NAPANGA LEO LEO KWENDA KANISANI!
Pole mkuu
 
Kwema ndugu zangu,

Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Pole chifu kwa unayopitia

Usisahau KAZI NA SALA
 
Pole man!

Ingia kwenye chumba chako!

Muombe,mgombeze,mlaumu,mwambie nini hutaki na mlalamikie MUNGU KWA SAUTI KABISA !

Mwambie KWA lugha yoyote ile!

You will get a lift!!

Wala usiogope man!

Hata mitume na manabii WALIFANYA hivyo!!
 
Ktk Uzi wako mmoja ulisema umesoma mamb ya uhasibu na pia uwezo upo hvyo unahitaji kushauriwa either ukasome master Kisha PhD au uende ukapige diploma ya uhandisi was umeme au ujenzi ..

Sasndugu yangu hzo stress na depression umezitoa Wapi inaonekana uko ktkfamilia borazaid embu tulia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu
Ktk Uzi wako mmoja ulisema umesoma mamb ya uhasibu na pia uwezo upo hvyo unahitaji kushauriwa either ukasome master Kisha PhD au uende ukapige diploma ya uhandisi was umeme au ujenzi ..

Sasndugu yangu hzo stress na depression umezitoa Wapi inaonekana uko ktkfamilia borazaid embu tulia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana, ila hiyo sio depression. Ni una stress za maisha tu.
 
Ya kufatwa pm, halafu jiongeze sina muda wa kujibishana na wewe
Ushapagawa tayari, 😆 nani kasema ana huo mda wa kubishana na wewe hutaki kujibu kaa kimya pita kushoto life is too short we are all going to die tomorrow,
 
Fanya mambo haya.
1.Jiweke karibu na MUNGU wako sana,asubuhi mchana na jioni
2.Jitafute ni ujuzi gani unao, hata kama huna tafuta biashara ya kukuingizia hata 5000 kwa siku ,na usione aibu kuifanya labda kwa sababu umesoma.Jaribu hata kuingia uber /Bolt uwe wapo watu wana magari wanatafuta madereva.
3.Online pia zipo freelancing jobs nyingi unaweza kufanya remotely.
4.zipo kampuni nyingi unaweza kujitolea kufanya internship,wengine wanatoa hela kdg
5.Fanya biashara online.Piga picha bidhaa huko kwa maduka ya watu,weka cha juu fanya delivery.

Nimejaribu kidogo kuweka mawazo yangu maana nilipita huko
 
Ushapagawa tayari, 😆 nani kasema ana huo mda wa kubishana na wewe hutaki kujibu kaa kimya pita kushoto life is too short we are all going to die tomorrow,
Depression is real mazee,, yani umekuta comment yangu pale ukaingiza mada isiyohusiana,,,,, na bla bla nyingine saiv nimepagawa aiseee
 
Watu wanachanganya depression na stress

Hiyo sio depression, hiyo ni stress,
Stress ni rahisi kutibu, ukitatuliwa hilo tatizo tu inaondoka, mfano hapo ukipewa kazi tu hapo au mtaji mambo yako yanakuwa safi

Ila depression haitibiki kirahisi, unaweza kuwa bilionea ukawa unateswa na depression
Ila Stressors ndio hupelekea Stress ambayo hupelekea Depression.Depression ni kama kupoteza apetite ya maisha.Stress ni kuwa na appetite na usivyoweza kupata kwa hali yako ya sasa.Ukikosa kwa muda mrefu na appetite ikipote unaingia katika deep stress ambyo ndo depression.
 
Mkuu Ni depression hii ndio inanifanya hata kazi inakuwa ngumu kuipata
hahahaha huna depression mkuu, sema mawazo ya jamii inakuonaje baada ya kusoma na kutegemea utakua mkomboz wa familia ama utapata hela na kuwa na maisha mazuri


relax mkuu kazi utapata na maisha yatakuwa powa, cha.muhimu usijiiingize kwenye makundi na kutumia vilevi.

wengi tumekuwa ivo bila kazi kwa muda mrefu,.dharau na maneno mengi cha muhimu endelea kupambana
 
Depression is real mazee,, yani umekuta comment yangu pale ukaingiza mada isiyohusiana,,,,, na bla bla nyingine saiv nimepagawa aiseee
Yeas, depression is very real over here so ushanjunjwa leo tayari au ndio unapasha misuli?
 
Back
Top Bottom