Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Kabisa mkuu.sema ndoivo sasà nikuchek njia zingine ila omba Mungu sana ña jitume kutafuta kazi/jiajiri.Hamna ambaye anataka ateseke na huku ana degree mkononi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu.sema ndoivo sasà nikuchek njia zingine ila omba Mungu sana ña jitume kutafuta kazi/jiajiri.Hamna ambaye anataka ateseke na huku ana degree mkononi
Pole, ila wewe ndio gate keaper wa aliki yako, hivyo, unaweza kuchagua nini cha kuruhusu/kufikiri nk! Naona umeruhusu mawazo ya kifeli na kujikataa! Skia, wwe sio mwenye elimu pekee ambaye hajaajiriwa! Nilikaa 2 yrs baada ya ajira na nikaanza kujitolea kwenye kampuni mpya ya mikopo kwa malipo ya chakula cha mchana! Baada ya miazi kadhaa nikaanza pewa 50k per month! Nilikaa hapo mpaka nilipofikia malipo ya 300k huku nikiitwa meneja mikopo!Kwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Naijua depression sana na nilikuwa nawasaidia sana watu wenye msongo wa mawazoUmeona ehh
Sasa dawa zake another side effects ni kutaka kujiua!
Sasa 🥹ni kazi kweli kweli walahi!
Tema mate chini usikumbwe walahi [emoji22]
Vuta Sigara utakua sawa tu,
There is light at the end of the tunnel mkuu, just hang on.
Only one puff tu usivute sana, 😆Uwiii unaua walahi [emoji13]
There is light at the end of the tunnel mkuu, just hang on.
Hahaha nimesikia milioni moyo ukafanya pah!.Depression usingeweza hata kuandika
Omba sana usipate Depression maana kila kitu utakiona kibaya hata kuoga utaacha
Mawazo ya kujiua ni kama unakunywa maji tu
Hizo ni stress tu ukipigwa ka milioni aah
Daaah...poleni sana Wadau, namwomba Mungu awafanyie wepesi katika mapito yenu.BRO JAPO UTAKUWA MDOGO KIUMRI BINAFSI NIMEKUELEWA,,
MAISHA NI UPUMBAVU MKUBWA,NINAYO KAZI,JAPO INALIPA KIDUCHU ILA NIMESHIDWA KUFANYA KILA KITU(NAMAANISHA HATA KMOJA SIJAFANYA NA NNA 10YRS KAZN..
NAKUWA NATAMANI SIKU ZA MSHAHARA ZISIFIKE KWANI ZIKFKA WADENI NDO HUNIUMIZA KICHWA ZAIDI,NIKIUMIZWA HISIA PIA NA JIFICHA NIKIWA HUKO SILI,SICHUKUI DEMU ILA NABET NA KUNYWA POMBE JAP6 ZINANIDHURU!!
NIMEFANYA HIV KWA MUDA WA MIAKA KAMA 2 MFLULZO,
MATOKEO;NIMESHUKA KILO SANA,
NIMEUZA VITU VYANGU VYOTE,
SITAKIW NILKOPANGA KWN MKE NDO KAINGIA MKTABA WA UPANGAJ
SIWAJAR WATOTO
NINA MADENI MAKUWA HAYALIPIKI!
SIWEZ KWENDA AU KUMTEMBELEA MTU NA TUKAONGEA!
UKWEL NSHAPIGA HESAB ZA KUKMBIA AU KUJIMALZA ILA ZOTE ZIMEGOMA,NAPANGA LEO LEO KWENDA KANISANI!
Pole mkuu, badilisha mazingira nenda usikojulikana ukapambane utakuwa na furahaKwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Hivi hizi ni akili za Mtu mzima kweli au ni bangi nibangue?[emoji16]Unaweza kuvuaa Samaki kwenda mafia kukaa siku kumi baharini??
If yes Dm ukapige kazi
Ukipendwa na jini ushakuwa MO dwji
Ukiwa na damu mbaya tunakutoa kafara
Mbona unajipinga mwenyewe tena...Inatibika kirahisi saaana!
Acha uwongo wako hapa [emoji35]
Dawa za antidepressant zimejaa tele, ubaya wa hizo dawa zina side effects mbaya, moja wapo ni kuondoa kabisa hamu ya tendo la ndowa, ndio maana watu hawazipendi.
Na hawa tumii na ugonjwa unarudi bila kujijua!
MENTAL HEALTH NI NI PANA KAMA BAHARI walahi [emoji22]
[emoji38] [emoji23] kwa Mungu madogo sanaHahaha nimesikia milioni moyo ukafanya pah!.
Hahaha nimepata matumaini mkuu, asante sana.[emoji38] [emoji23] kwa Mungu madogo sana
Tena unaomba zitakazokutuliza
Kwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Watu wanachanganya depression na stress
Hiyo sio depression, hiyo ni stress,
Stress ni rahisi kutibu, ukitatuliwa hilo tatizo tu inaondoka, mfano hapo ukipewa kazi tu hapo au mtaji mambo yako yanakuwa safi
Ila depression haitibiki kirahisi, unaweza kuwa bilionea ukawa unateswa na depression