Wakuu, fawanews vipi tena?Siku ya tatu hii naijatibu imegoma

Wakuu, fawanews vipi tena?Siku ya tatu hii naijatibu imegoma

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Wakuu lile chimbo letu la kucheki mechi mbalimbali fawanews kila nikiingia hola, dah uhondo wetu wametuondolea nini?

FC003C19-C196-42BA-831A-442426BFBC1D.jpeg
 
Nimekupata mkuu, mzigo huu hapa.

View attachment 3377195
Juzi ripoti ya DSTV walilalamika kua kuwepo kwa website nyingi za kuonyesha mpira kumewapunguzia subscribers takribani 2M kwa mwaka 24/25 tu.
Ndiyo maana wakaona waje na kifurushi cha mpira tu pekee yake.

Saivi Dstv wamebaki na Uefa, na Epl basi.. zingine tunazipata Azam tv
 
Mambo yamebadilika mkuu, sasa hivi hizo uefa na epl mechi zote tunaziona bila hiyo dstv. Mambo ni fawanews unakonekti na flat yako unakunja nne walete.
 
Unaconnect vipi na tv?
Mkuu simple tu, connect internet ya simu yako na flat screen yako, kisha nenda tena kwenye simu yako iwashe screen mirror na kwenye flat vivyo hivyo baada ya hapo enjoy mzigo.
350E16E3-9A27-471B-84B6-03C6D0EBBABC.jpeg
 
Back
Top Bottom