Wakuu hamna mtu mwenye connection ya mwanajeshi mtanzania yeyote wa nchi ya ulaya au marekani

Wakuu hamna mtu mwenye connection ya mwanajeshi mtanzania yeyote wa nchi ya ulaya au marekani

Tunatafuta connection ya mwanajeshi yeyote mtanzania ambaye aliepo jeshi la ulaya au marekani Ili atusaidie mawasiliano yake
Mcheki Mange Kimambi akupe connection. Ni muhimu sana. We must liberate our country. Our blood must water the freedom our beloved country
 
Tunatafuta connection ya mwanajeshi yeyote mtanzania ambaye aliepo jeshi la ulaya au marekani Ili atusaidie mawasiliano yake
Kamanda tesha yupo nje ila sasa mawasiliano yake mie sina
 
Hii nchi hii maumivu waliyokua nayo wananchi nahisi in few years to come kutakua na vikundi vingi sana.
Watanzania wengi wapo na stress sana saivi ..its realy
 
Back
Top Bottom