Wakuu hata haka kanishinde kwa 70m?

Wakuu hata haka kanishinde kwa 70m?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Capture-05 (1).jpg

Capture-08.jpg

Capture-06.jpg

Wakuu hata haka kanishinde? Nikiweka bajeti ya 70m kwa miaka mitatu si nakamaliza haka?
 
Tuvyumba tuwili tu twakulala haina haja ya kuingia hasara kiasi hicho, hoyo 70 unaangusha mjengo wa chini vyumba hata vi4 tena wa maana saana, au mzee eneo dogo.

Kama ni ndoto yako siku moja ulale juu(uwe na ghorofa) sawa mkuu.
 
Nateseka na ndoto mkuu. Eneo ni miguu 75 na 60. Naandaa Makazi ya kustaafia
 
Back
Top Bottom