Wakuu hata haka kanishinde kwa 70m?

Wakuu hata haka kanishinde kwa 70m?

Tuvyumba tuwili tu twakulala haina haja ya kuingia hasara kiasi hicho, hoyo 70 unaangusha mjengo wa chini vyumba hata vi4 tena wa maana saana, au mzee eneo dogo.

Kama ni ndoto yako siku moja ulale juu(uwe na ghorofa) sawa mkuu.
Hata akilala juu akikata gogo lazima lishuke chini.
 
Acha mbambamba Kama una pesa Jenga hata kwa 150k huna hakuna fundi Wala msaada wowote wa kifedha ..ukimaliza tutumie ka picha
Hayo ndio maneno sasa mkuu. Tujadili kilichopo mezani,sio kuanzisha mada nyingine
 
My point is !!! Usitage mayai yote kwenye kiota kimoja
Shit happens bro , usije kupoteza vyote kwa wakati mmoja
Sasa mkuu nikifanya hivyo hili geto la sasa nitalifanyia nini? Familia iishi hapa na kule, au kupangisha?! Kupangisha kwa mji naojenga ni hasara. Hata hii ina master 2, dinning na sitting halafu ananilipa 150k-hasara

Kama ni portfolio nimeshatengeneza. Mijengo 2 kwenye maeneo tofauti inatosha
 
Sasa mkuu nikifanya hivyo hili geto la sasa nitalifanyia nini? Familia iishi hapa na kule, au kupangisha?! Kupangisha kwa mji naojenga ni hasara. Hata hii ina master 2, dinning na sitting halafu ananilipa 150k-hasara

Kama ni portfolio nimeshatengeneza. Mijengo 2 kwenye maeneo tofauti inatosha
Huna chochote ulichokosea mkuu , ni vile tunabadilishana mawazo, hivi vitu mbele ya safari vinakuwa siyo vyetu bali vya hao tuliowaacha ,
Si unaona maghorofa kariakoo? Mengine yapo dated 1940 huko, wqliyoyajenga hawapo tena wala hawajui mijengo waliyoijenga pengine kwa kujibana kwa sasa anakaa nani!!!.
Kuna watoto wanaweza wasiwe na bond uliyowaachia huku mbele ya safari sasa kama vitu vyote uliweka sehemu moja ,mtoto mmoja mkorofi anaweza kuwadhulumu wenzake ,

My philosophy (siyo sheria) siweki vitu sehemu moja !
 
Nasubiri kwa hamu,ila iwe simple storey. Sina uwezo wa kujenga lidude kubwa

IMG_1719.jpg

IMG_1718.jpg

Mayo lamani ntiyi ipa matundo maso mingi numba ikondia,ugula na mutuka waso!70m ningi imbi!
 
Back
Top Bottom