Wakuu hata haka kanishinde kwa 70m?

Wakuu hata haka kanishinde kwa 70m?

Heading ni ya kike na ww ni mwanaume ungekua hutaki kuwa mwanaume ungesema asee usituandikie kama mama
Sijakuandikia wewe. Hao wote walichangia wameweka maoni yao safi halafu unakuja na stress na ujinga wako. Nani kakuita hapa
 
Sijakuandikia wewe. Hao wote walichangia wameweka maoni yao safi halafu unakuja na stress na ujinga wako. Nani kakuita hapa
😂😂😂😂 Stress au sio. Ukiwa mwanaume jifunze kupokea challenge usitarajie unachoandika kila mmoja atakuja kutoa maoni wengine tupo kuwatia sumu mapopoma kama nyie msiojua kupokea challenge kidogo
 
Halafu watu wanasema gharama za nyumba zipo kwenye finish/kumalizia.
Sasa nauliza kwa ghorofa inafuata kanuni hizi, au gharama yake imejificha wapi? Mliojenga ghorofa mtusaidie.
Ghorofa hiyo finishing yake si sawa tu na nyumba ya vyumba 3. Utaweka tiles zile zile, madirisha yale yale, au ukipanda ngazi ndio gharama ya kujenga inaongezeka. Kama ni kujenga stage kwa hako kagorofa, nionavyo haisumbui kivile, sema kama ni ghorofa 3 na kuendelea. Hapa nahisi kuna kitu kimejificha, kwamba mradi umetamka ghorofa basi ujenzi wake unafananishwa na yale tunayoyaona posta!
 
😂😂😂😂 Stress au sio. Ukiwa mwanaume jifunze kupokea challenge usitarajie unachoandika kila mmoja atakuja kutoa maoni wengine tupo kuwatia sumu mapopoma kama nyie msiojua kupokea challenge kidogo
Hiyo ni challenge au upuuzi. Pelekea baba yako hizo challenge
 
Hiyo ni challenge au upuuzi. Pelekea baba yako hizo challenge
Dogo usipanic baba yangu hana mpango wa kujenga ka stand ka tank kwa 70m anayotafuta kwa kukaza tako 3yrs😂😂😂😂😂😂 utakufa hujajenga hata msingi kenge
 
Dogo usipanic baba yangu hana mpango wa kujenga ka stand ka tank kwa 70m anayotafuta kwa kukaza tako 3yrs😂😂😂😂😂😂 utakufa hujajenga hata msingi kenge
Kenge mama yako aliyekuzaa wewe kenge jike. Kama unakazwa kupata bando basi njoo nikukaze linda ili ujenge pia
 
Kenge mama yako aliyekuzaa wewe kenge jike. Kama unakazwa kupata bando basi njoo nikukaze linda ili ujenge pia
😂😂😂😂😂😂😂😂 Hasira za nini popoma huna uwezo yaani tusi la kwanza unaanza na mama😂😂😂😂😂😂 nikikupa moja la kwangu utakimbilia kwa mods😂😂😂😂. Unaongea kwa experience kubwa kwenye swala la kukazwa rinda inaonekana ni muhanga wa kulawitiwa😂😂😂😂
 
Kenge mama yako aliyekuzaa wewe kenge jike. Kama unakazwa kupata bando basi njoo nikukaze linda ili ujenge pia
Alafu utakua popoma sana kama unakaza hadi kenge umekosa madem wote hao au ndio masharti ya wale wanaokutatua rinda.

Unahasira za kutobolewa spika😂😂😂😂
 
Halafu watu wanasema gharama za nyumba zipo kwenye finish/kumalizia.
Sasa nauliza kwa ghorofa inafuata kanuni hizi, au gharama yake imejificha wapi? Mliojenga ghorofa mtusaidie.
Ghorofa hiyo finishing yake si sawa tu na nyumba ya vyumba 3. Utaweka tiles zile zile, madirisha yale yale, au ukipanda ngazi ndio gharama ya kujenga inaongezeka. Kama ni kujenga stage kwa hako kagorofa, nionavyo haisumbui kivile, sema kama ni ghorofa 3 na kuendelea. Hapa nahisi kuna kitu kimejificha, kwamba mradi umetamka ghorofa basi ujenzi wake unafananishwa na yale tunayoyaona posta!
Habari, naomba nikujibu.

Ujenzi wa ghorofa ni tofauti na ujenzi wa nyumba ya kawaida.

Kivipi?

Kwenye ujenzi wa ghorofa Kuna element zinaongezeka ambazo sio za lazima kwenye nyumba ya chini. Element kama nguzo, mkanda wa chini na slab ni lazima viwepo kwenye ghorofa.
Element hizo zinahitaji materials kama nondo, miti ya mirunda, kokoto na cement ya kutosha ili kuimalisha jengo.

Vilevile, ufundi wa nguzo na slab bei yake huwa imechangamka kidogo kwani utahitaji fundi ambae ni specific kwaajili ya zoezi la usukaji nondo na mwingine wa kufunga mbao za slab (formwork) bila kusahau zoezi la umwagaji zege kwenye slab bei ya zege huwa Iko juu.

Infact, ujenzi wa ghorofa unagharama hususani kwenye ufundi kadri unavyopanda juu mazingira ya fundi kufanya kazi yanakuwa magumu na bei inaongezeka pia.( Bei ya kujenga tofali chini sio sawa na bei ya ujenzi wa tofali za juu).

Kwa budget Yako ya 70M unauwezekano mzuri wa kumaliza ujenzi for almost 90%. Hii utafanikisha endapo utakuwa na mtu mzoefu kwenye ujenzi akakusaidia kuepukana na unnecessary costs.

Everything is possible with commitment, Good luck [emoji112]
 
Makazi ya kustafia unajenga ghorofa mkuu haupo serious, mkuu ukizeeka magoti yanauma kupandisha ngazi ni kero tupu
Bado miaka 23 nistaafu. Mkuu mpaka goti likaze sinitakuwa nimeshakula maisha? Halafu likikaza nabaki chini nikicheza na wajukuu
 
Hiyo pesa unalaliza kazi kabisa au inakupeleka zaidi ya 90% ya ujenzi wako. Hii ramani [emoji116] mpaka kupaua na kuweka milango na madirisha na plastering kwa ground floor, imekula 103M.
IMG_2022-05-19-11-41-39-649.jpg
IMG_2022-05-19-11-41-57-306~2.jpg
IMG_2022-09-14-11-05-45-323.jpg
IMG_2022-05-19-11-38-06-907.jpg
IMG_2022-05-19-11-37-42-730.jpg
 
Back
Top Bottom