Wakuu hata haka kanishinde kwa 70m?

Tuvyumba tuwili tu twakulala haina haja ya kuingia hasara kiasi hicho, hoyo 70 unaangusha mjengo wa chini vyumba hata vi4 tena wa maana saana, au mzee eneo dogo.

Kama ni ndoto yako siku moja ulale juu(uwe na ghorofa) sawa mkuu.
 
Nateseka na ndoto mkuu. Eneo ni miguu 75 na 60. Naandaa Makazi ya kustaafia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…