Wakuu hata haka kanishinde kwa 70m?

Ndio maana sina ujinga wa kuacha kula maisha eti najibana nijenge..

Huwa nafanya vitu Kwa ku relax
 
Ni pm tupange nikufanyie hiyo kazi,
70m inatoshaa inawezekana kabisa.
 
Mkuu ni pm tuongee!!
70m inatoshaa sana inawezekana
 
Umesema ukweli kabisa, mimi mzee wangu katuachia nyumba mbili lkn zote kazijenga ndani ya fence moja. Natamani kila moja ingekua eneo tofauti lkn ndo hivyo tena.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Nakabana ili kipato kitoshe. Ila eneo lina nyumba ya kawaida tayari
Kujenga hiyo unajenga na inabaki, sema uwe na undugu na fundi mkuu. Hawa mafundi ndio wanaofanya pesa zisitoshe, mkinunua vifaa wanaweka cha juu. Simamia hiyo unakaba kona zote, asubuhi inaingia site kutoka jioni. Ukiondoka unaacha mtu. Tatizo kama unaenda kazini, jenga ukiwa likizo.
 
Hutaweza maana hujiamini na ujenzi sio wa miaka 3 tu ukae ukijua hilo.

Ww hapo umeplani mipango mkeka kumbuka mungu nae anamambo yake anaplani juu yako. Ila kwa kutojiamini huko huwezi fanikisha. Ww kama ni jinsia me alafu unaandika kichwa cha habari hivyo hakuna namna tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fundi kazi yake ni kuainisha mahitaji na kujenga. Najenga naye
 
Hii ndio mimtu mijinga ya kukatisha tamaa. Heading ina shida gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…