Wakuu hili la Yusuf Mhilu limekaaje kwa sheria za soka?

Wakuu hili la Yusuf Mhilu limekaaje kwa sheria za soka?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Nielewesheni Wajuzi tafadhali!

Zinazuka Taarifa za kimkataba hapa kuhusu Hii ishu ya Yusuf Mhilu na Sakata la usajili wake kama si Usahili .

Nasikia hii ya Release Clause ,Kwamba hii haikuwepo kimkataba kuipa nguvu Dili upande wa klabu ya Kagera , SAWA

Nasikia hii ishu ya Kipengele cha kimkataba kikisema (Kuuvunja mkataba ama kuununua mkataba wa Mhilu , eti Thamani ya Mshahara wake wa miezi 12 unatosha kupima thamani ya mkataba huo)

Hapa nikapata swali fikirishi.

Vipi kuhusu compasation ya Thamani ya Delivery ya Mhilu msimu uliopita?

Hii Kagera Sugar haiwahusu kukaa mezani kumthamisha Yusuf Mhilu?

Maana Yusuf Mhilu amekuwa Na consistent karibu misimu miwili na amekuwa katika Top players wa ligi msimu uliopita..

Haina Nguvu hii kibiashara?

Kagera wakiona Thamani ya Mhilu kibiashara wanastahili kupata faida nae watakuwa wamembania mchezaji kutimiza malengo yao?

Huyu Mhilu ndio Star wa klabu ya Kagera Sugar lakini.. It doesn't Matter?

Kwahio kama picha iko hivi , Kama ni kweli

Kwahiyo
, Simba Sc hawakutaka kumnunua Mhilu toka Kagera Sugar bali Simba walitaka kuvunja Mkataba wa Yusuf Mhilu ili kumnunua Mhilu akiwa huru?

Is this an Honest Business [emoji848]?

Vipi kesho ya Biashara ya Soka ?

Was it really necessary ?

HALAFU
Hili eneo la Mchezaji mwenye mkataba mahala kisheria kisha akasajiliwa na kutangazwa na klabu nyingine ..

KISHERIA NA KANUNI ZA SOKA TZ ZINASEMAJE ?

Kwa faida tu tufahamu zinasemaje ..

Sawa, tumesikia Wamekaa mezani..

Ila tukio la kumalizana mezani limetokea KABLA AMA BAADA YA URASIMISHAJI WA MCHEZAJI MWENYE MKATABA?
 
Sheria zinafanya kazi kama kutakua na mlalamikaji kati ya hizo pande mbili. Kagera wamesema hawajapeleka malalamiko yoyote kuhusu simba. Ila wapo kwenye mazungumzo. Nafikiri tusubiri mazungumzo yataenda vipi?
 
Wakuu Nielewesheni Wajuzi tafadhali !!

Zinazuka Taarifa za kimkataba hapa kuhusu Hii ishu ya Yusuf Mhilu na Sakata la usajili wake kama si Usahili .
.
Nasikia hii ya Release Clause ,Kwamba hii haikuwepo kimkataba kuipa nguvu Dili upande wa klabu ya Kagera , SAWA
.
Nasikia hii ishu ya Kipengele cha kimkataba kikisema (Kuuvunja mkataba ama kuununua mkataba wa Mhilu , eti Thamani ya Mshahara wake wa miezi 12 unatosha kupima thamani ya mkataba huo)
.
Hapa nikapata swali fikirishi...
.
Vipi kuhusu compasation ya Thamani ya Delivery ya Mhilu msimu uliopita?
.
Hii Kagera Sugar haiwahusu kukaa mezani kumthamisha Yusuf Mhilu?
.
Maana Yusuf Mhilu amekuwa Na consistent karibu misimu miwili na amekuwa katika Top players wa ligi msimu uliopita..
.
Haina Nguvu hii kibiashara?
.
Kagera wakiona Thamani ya Mhilu kibiashara wanastahili kupata faida nae watakuwa wamembania mchezaji kutimiza malengo yao?
.
Huyu Mhilu ndio Star wa klabu ya Kagera Sugar lakini.. It doesn't Matter?
.
Kwahio kama picha iko hivi , Kama ni kweli
.
Kwahio ,
Simba Sc hawakutaka kumnunua Mhilu toka Kagera Sugar bali Simba walitaka kuvunja Mkataba wa Yusuf Mhilu ili kumnunua Mhilu akiwa huru?
.
Is this an Honest Business [emoji848]?
.
Vipi kesho ya Biashara ya Soka ?
.
Was it really necessary ?
.
HALAFU
.
Hili eneo la Mchezaji mwenye mkataba mahala kisheria kisha akasajiliwa na kutangazwa na klabu nyingine ..
.
KISHERIA NA KANUNI ZA SOKA TZ ZINASEMAJE ?
.
Kwa faida tu tufahamu zinasemaje ..
.
Sawa, tumesikia Wamekaa mezani..
.
Ila tukio la kumalizana mezani limetokea KABLA AMA BAADA YA URASIMISHAJI WA MCHEZAJI MWENYE MKATABA?
.
Hakuna haja ya kujiuliza maswali yote haya maana mwisho wa yote Mhilu atasajiliwa Simba kwa sh. 35M kama Simba wataionea huruma Kagera Sugar, au kwa chini ya hizo kama Simba watamchochea Mhilu avunje mkataba na Kagera Sugar. Hilo la Simba kumtambulisha Mhilu kabla ya kumalizana kabisa na Kagera (maana walikuwa walishaanza mazungumzo) litamalizwa kibabe
 
Mdahallo wa usajili wa mchezaji wa Kagera kwenda simba ambae bado ana mkataba o.Mhilu umekuwa gumzo.

Wapo wameanxa kuandika huruma zitumike wengine bado mdogo aruhusiwe.

Sheria zinasemaje kusajili mchezaji ambae bado yuko na mkataba na unamtambylisha rasmi kama mchexaji halali wa simba?

Je, timu nayoo iadhibiwe?

Haya maneno ya huruma sijui maridhiano yanatokea kufungu gani cha sheria.
 
Utakuwa utopolo tu maana hueleweki. Kwani mchezaji alie na mkataba hairuhusiwi kusajiliwa?
 
Mkuu umejaribu kuagalia humu uzi wa mada yako ukaukosa kabla hujaanzisha uzi wako? Au nawewe umeona uwe miongoni mwa watu walioanzisha uzi kwa herufi kubwa kama mtu wa karne ya 18.

Kuna zaid ya thread 2 humu zote zinaongelea issue ya muhilu, nadhani ungeanza kwanza kuzipitia huenda ungepata majibu ya maswali yako, na endapo ungekosa basi ungeanzisha mada yako.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom