Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Nielewesheni Wajuzi tafadhali!
Zinazuka Taarifa za kimkataba hapa kuhusu Hii ishu ya Yusuf Mhilu na Sakata la usajili wake kama si Usahili .
Nasikia hii ya Release Clause ,Kwamba hii haikuwepo kimkataba kuipa nguvu Dili upande wa klabu ya Kagera , SAWA
Nasikia hii ishu ya Kipengele cha kimkataba kikisema (Kuuvunja mkataba ama kuununua mkataba wa Mhilu , eti Thamani ya Mshahara wake wa miezi 12 unatosha kupima thamani ya mkataba huo)
Hapa nikapata swali fikirishi.
Vipi kuhusu compasation ya Thamani ya Delivery ya Mhilu msimu uliopita?
Hii Kagera Sugar haiwahusu kukaa mezani kumthamisha Yusuf Mhilu?
Maana Yusuf Mhilu amekuwa Na consistent karibu misimu miwili na amekuwa katika Top players wa ligi msimu uliopita..
Haina Nguvu hii kibiashara?
Kagera wakiona Thamani ya Mhilu kibiashara wanastahili kupata faida nae watakuwa wamembania mchezaji kutimiza malengo yao?
Huyu Mhilu ndio Star wa klabu ya Kagera Sugar lakini.. It doesn't Matter?
Kwahio kama picha iko hivi , Kama ni kweli
Kwahiyo, Simba Sc hawakutaka kumnunua Mhilu toka Kagera Sugar bali Simba walitaka kuvunja Mkataba wa Yusuf Mhilu ili kumnunua Mhilu akiwa huru?
Is this an Honest Business [emoji848]?
Vipi kesho ya Biashara ya Soka ?
Was it really necessary ?
HALAFU
Hili eneo la Mchezaji mwenye mkataba mahala kisheria kisha akasajiliwa na kutangazwa na klabu nyingine ..
KISHERIA NA KANUNI ZA SOKA TZ ZINASEMAJE ?
Kwa faida tu tufahamu zinasemaje ..
Sawa, tumesikia Wamekaa mezani..
Ila tukio la kumalizana mezani limetokea KABLA AMA BAADA YA URASIMISHAJI WA MCHEZAJI MWENYE MKATABA?