Wakuu hivi hii artwork naweza kuiuza?

Wakuu hivi hii artwork naweza kuiuza?

Brave_Idiot

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
209
Reaction score
368
Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua?

Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo ni rahisi mtu kujua kama ni Dar es Salaam au?

Pia ni bei gani nzuri kuiuza hii kazi ili itoke ?

Picsart_24-09-12_13-27-59-863.jpg
 
Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua? Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo ni rahisi mtu kujua kama ni Dar es Salaam au? Pia ni bei gani nzuri kui uza hii kazi ili itoke ?
View attachment 3094050
sina ujuzi lkn kaka jitahidi sana kuna wana photo copy ya kuchora unakuwa mhujui ipi OG
 
Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua?

Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo ni rahisi mtu kujua kama ni Dar es Salaam au?

Pia ni bei gani nzuri kuiuza hii kazi ili itoke ?

Mkuu kama hii umeichora aiseee Wewe ni Kiwango cha juu cha Ubunifu na Uwezo. Naomba kukwambia kitu, Marekani Devon Rodriguez mwenye asili ya Puerto Rico na Honduras alipoanza kuweka hadharani kazi zake YouTube mwaka 2019 hakuwa na watazamaji wengi. Mpaka mwaka 2021 bado mambo hayakuwa mazuri. Leo ana watazamaji zaidi ya Bilioni 3 YouTube. Hii ni kazi nzuri mno itangaze, pia uwe unajirekodi video toka unapoanza kuichora mpaka unapomaliza itatumika kwa maudhui ya YouTube. Mungu akusimamie Boss, nauona Utajiri wako kupitia hii fani.
 
Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua?

Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo ni rahisi mtu kujua kama ni Dar es Salaam au?

Pia ni bei gani nzuri kuiuza hii kazi ili itoke ?

Issue sio hio picha yenyewe bali unaiprint wapi na unafanya finishing gani, kama una tafuta Alluminium frame, Ukatumia material kama Epoxy unauza bei nzuri tu.
 
Issue sio hio picha yenyewe bali unaiprint wapi na unafanya finishing gani, kama una tafuta Alluminium frame, Ukatumia material kama Epoxy unauza bei nzuri tu.
Kaka kwema? bwana nina uhitaji wa laptop ya kusomea kwa Njia ya masafa,budget kama 800k mpaka 900k inaweza ongezeka kidogo,naomba ushauri wako bro,niagize pinduo au nichukue hapa bongo? je nichukue aina gani na duka gani unashauri nichukue?
 
Back
Top Bottom