Wakuu hivi hii artwork naweza kuiuza?

Wakuu hivi hii artwork naweza kuiuza?

Mkuu kama hii umeichora aiseee Wewe ni Kiwango cha juu cha Ubunifu na Uwezo. Naomba kukwambia kitu, Marekani Devon Rodriguez mwenye asili ya Puerto Rico na Honduras alipoanza kuweka hadharani kazi zake YouTube mwaka 2019 hakuwa na watazamaji wengi. Mpaka mwaka 2021 bado mambo hayakuwa mazuri. Leo ana watazamaji zaidi ya Bilioni 3 YouTube. Hii ni kazi nzuri mno itangaze, pia uwe unajirekodi video toka unapoanza kuichora mpaka unapomaliza itatumika kwa maudhui ya YouTube. Mungu akusimamie Boss, nauona Utajiri wako kupitia hii fani.
Hakika mkuu pia umempa Ushauri Mzuri

Kazi za Sanaa huwa zinachukua muda mrefu watu kuzielewa ,ikiwa mtu wakukata tamaa huwezi kutimiza ndoto zako
 
Inauzika. Weka size ya A3 portrait usiweke landscape
 
Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua?

Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo ni rahisi mtu kujua kama ni Dar es Salaam au?

Pia ni bei gani nzuri kuiuza hii kazi ili itoke ?


Kama umechora kwa AI hata sisi tunaweza kuchora zaidi ya hapo, eleza zaidi umechora kwa kutumia tech gani?
 
Back
Top Bottom