Wakuu hivi hii artwork naweza kuiuza?

Brave_Idiot

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
209
Reaction score
368
Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua?

Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo ni rahisi mtu kujua kama ni Dar es Salaam au?

Pia ni bei gani nzuri kuiuza hii kazi ili itoke ?


 
Bro kuna web site ya dunia nimeisahau una register unatuma kazi zako ikiwa ni picha ya kuchora au ya kupiga na picha yako ina kuwa na copy write hutoibiwa kama umekuwa member akitokea mteja akisema ameipenda munakubaliana au kama umetia tag price anaona.
 
sina ujuzi lkn kaka jitahidi sana kuna wana photo copy ya kuchora unakuwa mhujui ipi OG
 
Mkuu kama hii umeichora aiseee Wewe ni Kiwango cha juu cha Ubunifu na Uwezo. Naomba kukwambia kitu, Marekani Devon Rodriguez mwenye asili ya Puerto Rico na Honduras alipoanza kuweka hadharani kazi zake YouTube mwaka 2019 hakuwa na watazamaji wengi. Mpaka mwaka 2021 bado mambo hayakuwa mazuri. Leo ana watazamaji zaidi ya Bilioni 3 YouTube. Hii ni kazi nzuri mno itangaze, pia uwe unajirekodi video toka unapoanza kuichora mpaka unapomaliza itatumika kwa maudhui ya YouTube. Mungu akusimamie Boss, nauona Utajiri wako kupitia hii fani.
 
Issue sio hio picha yenyewe bali unaiprint wapi na unafanya finishing gani, kama una tafuta Alluminium frame, Ukatumia material kama Epoxy unauza bei nzuri tu.
 
Issue sio hio picha yenyewe bali unaiprint wapi na unafanya finishing gani, kama una tafuta Alluminium frame, Ukatumia material kama Epoxy unauza bei nzuri tu.
Kaka kwema? bwana nina uhitaji wa laptop ya kusomea kwa Njia ya masafa,budget kama 800k mpaka 900k inaweza ongezeka kidogo,naomba ushauri wako bro,niagize pinduo au nichukue hapa bongo? je nichukue aina gani na duka gani unashauri nichukue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…