Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 209
- 368
- Thread starter
-
- #21
Ngoja tukupe moyo.............hiyo kwa mbali inakuja kama dsm au kizimkazi,nani alikwambia mbongo atanunua picha? labda soko lako liwe kwa ngozi nyeupe.
Au xioMilion saba mara ya kwanza.
Milion saba mara ya pili.
Milion saba mara ya tatu.
SOLD!
Nafikilia picha mbao 🤔 ???Issue sio hio picha yenyewe bali unaiprint wapi na unafanya finishing gani, kama una tafuta Alluminium frame, Ukatumia material kama Epoxy unauza bei nzuri tu.
Hakika mkuu pia umempa Ushauri MzuriMkuu kama hii umeichora aiseee Wewe ni Kiwango cha juu cha Ubunifu na Uwezo. Naomba kukwambia kitu, Marekani Devon Rodriguez mwenye asili ya Puerto Rico na Honduras alipoanza kuweka hadharani kazi zake YouTube mwaka 2019 hakuwa na watazamaji wengi. Mpaka mwaka 2021 bado mambo hayakuwa mazuri. Leo ana watazamaji zaidi ya Bilioni 3 YouTube. Hii ni kazi nzuri mno itangaze, pia uwe unajirekodi video toka unapoanza kuichora mpaka unapomaliza itatumika kwa maudhui ya YouTube. Mungu akusimamie Boss, nauona Utajiri wako kupitia hii fani.
Mkuu naheshimu sana mawazo yako ntafurahi ukinipa msaadaIssue sio hio picha yenyewe bali unaiprint wapi na unafanya finishing gani, kama una tafuta Alluminium frame, Ukatumia material kama Epoxy unauza bei nzuri tu.
Nenda kkoo uone picha gani zinauzika, Utazikuta kibao kwa Machinga na maduka mbalimbali mitaa ya Agrey na Mchikichi kwa swahili hadi sikukuu.Nafikilia picha mbao 🤔 ???
Kama umechora kwa AI hata sisi tunaweza kuchora zaidi ya hapo, eleza zaidi umechora kwa kutumia tech gani?Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua?
Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo ni rahisi mtu kujua kama ni Dar es Salaam au?
Pia ni bei gani nzuri kuiuza hii kazi ili itoke ?