financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,210
- 43,608
Try at your own risk mkuu😂Acha basi 🤣🤣
Try at your own risk mkuu😂Acha basi 🤣🤣
Endelen tuhUnatakaje?
Mkuu umeshawahi kutumia? Je ni kweli ulipata nguvu maradufu😂Uzi uishie hapa
siwezi vua kila kitu maana hilo jau mwananguUjaribu ukiwa umevua kila kitu
Naja, niandaliea kitimito hapo.Tandale mzee karibu popobawa
Kila la kherkombe nshachukua Hilo ni langu hapa tunaelekea block house
haina shda.....Naja, niandaliea kitimito hapo.
Mwanang usinsahau kweny ratiba maan kitimoto naikubal kinomaNaja, niandaliea kitimito hapo.
mkuu hi noma kaz kazBooster
Halafu watengenezaji wakubwa ni wanawake, Patami hapooKuna muda huwa nawashangaa sana wanaume mana ndo wateja wakubwa wa hiyo kitu.
Hapo ongeza na nazi zile mbichi.
Nakuja na Omari.haina shda.....
Usijali, tunaenda wote.Mwanang usinsahau kweny ratiba maan kitimoto naikubal kinoma
🤣🤣😂Nakuja na Omari.
Unajua Shadeeya Ke wameona mambo hayaendi inavyopaswa kwa hiyo wameingia mzigoni kufanya tafiti za alkasusu ili ndoa zisitetereke. Hizo mimi natumia kama chakula au vitafunwa vya kifungua kinywa na kama kiburudisho. Yale mengine kama imo imo tuSesten Zakazaka hivi na wewe ni mpenzi wa hivi vitu?
Mana ile njia ya kuelekea nyumbani huwa wamama kibao unawakuta wanauza madirishani.
Hahahaha. Eti Yale mengine kama imo imo tu. Lol.Unajua Shadeeya Ke wameona mambo hayaendi inavyopaswa kwa hiyo wameingia mzigoni kufanya tafiti za alkasusu ili ndoa zisitetereke. Hizo mimi natumia kama chakula au vitafunwa vya kifungua kinywa na kama kiburudisho. Yale mengine kama imo imo tu
Acha kabisa ila huenda wanajua tatizo lilipo hivyo wanaleta tiba. 🙈🙈Halafu watengenezaji wakubwa ni wanawake, Patami hapoo
Kila changamoto inazalisha fursa, inamaana kina mama wamejiongeza wanajiajiri kwa changamoto za wanaume, hahahaaaHahahaha. Eti Yale mengine kama imo imo tu. Lol.
Ni kweli kabisa Ses.
Ndio maisha yalivyo ujue Ses. 😅Kila changamoto inazalisha fursa, inamaana kina mama wamejiongeza wanajiajiri kwa changamoto za wanaume, hahahaaa