Wakuu hivi kazi ya hii kitu ni nini hasa?

Sesten Zakazaka hivi na wewe ni mpenzi wa hivi vitu?

Mana ile njia ya kuelekea nyumbani huwa wamama kibao unawakuta wanauza madirishani.
Unajua Shadeeya Ke wameona mambo hayaendi inavyopaswa kwa hiyo wameingia mzigoni kufanya tafiti za alkasusu ili ndoa zisitetereke. Hizo mimi natumia kama chakula au vitafunwa vya kifungua kinywa na kama kiburudisho. Yale mengine kama imo imo tu
 
Hahahaha. Eti Yale mengine kama imo imo tu. Lol.

Ni kweli kabisa Ses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…