Wakuu hivi mifupa kwa ajili ya mifugo huwa mnaipata wapi kabla ya kusaga?

Wakuu hivi mifupa kwa ajili ya mifugo huwa mnaipata wapi kabla ya kusaga?

BestOfMyKind

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
1,350
Reaction score
1,464
Nina mashine so far nimeburuza mashudu na mahindi, mifupa sijui napata wapi.
msaada wadau
 
Mabuchani na machinjioni , swali dogo kama hili hata mwanao angekujibu tu
USSR
 
Back
Top Bottom