Wakuu hizi Fursa maliasili zitatoka Lini?

Wakuu hizi Fursa maliasili zitatoka Lini?

FamousinTown

Member
Joined
Aug 15, 2021
Posts
61
Reaction score
37
Screenshot_20220711-140724.png
 
Lkn mkuu Naona Ndg waziri mkuu amesisitizia kwa mwaka huu wa bajeti na kusema Ndg Rais ametoa kibali cha askari 6000 Tayari
 
Si ndio hao misitu (tfs) ,utalii, wanyapori

Zishatoka toka June tunasubiri majibu

Maliasili washatoa kitambo mtoa mada ulikuwa wapi
 
Tanzania 🇹🇿 yangu wapi tumekosea njia?,hadi leo generation zinategemea ajira kutoka serikalini!,ni wajibu wa serikali kuandaa mazingira rahisi ya ajira na SIO kuwa mwajiri, yaani ningeupata uraisi wa 24 hrs ningefanya mabadiliko makubwa mno kuliko 60yrs ya utawala huu,...TANESCO ningevunja na kazi yao ingekua ni ku supply electricity SIO kuzalisha umeme, umeme ungezalishwa na watu au makampuni binafsi (ajira nyingi zingezalishwa hapa)na hawa ndio wangewauzia umeme huo TANESCO!
 
Back
Top Bottom